wakati vijana wa sasa wakipata ujasiri wa kukojolea vitabu vitakatifu,huyu nae alikuja na kali yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakati vijana wa sasa wakipata ujasiri wa kukojolea vitabu vitakatifu,huyu nae alikuja na kali yake

Discussion in 'Jamii Photos' started by pageup, Oct 13, 2012.

 1. pageup

  pageup Senior Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  523026_451246204917419_448577122_n.jpg :a s 13:
   
 2. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ohooo, muamshe mwenzio.
  Hivi hamkuziba tena pale kwenye paa linalovuja?
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  dah! hahahaa namfahamu mtu mzima 1 anaye mwaga kitandani. kama kawa
   
 4. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Halafu ulikuwa umemkamia vibaya sana,then unafika rum hali iko hivyo,ni balaa tupu!
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Wacha upumbavu wewe!lazima na wewe utakuwa ni uamsho!usingeweza kuleta utani kwenye jambo serious kama la uporaji uliofanywa jana na wafuasi wale wa shetani.
   
 6. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1,888
  Trophy Points: 280
  dah chapa chapa.
   
 7. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah pole yake
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mkuu.@pageup afadhali ya huyu anastarehe ndani ya kitanda kuliko vijana wenye ujasiri wa kuvikojolea vitabu vitakatifu wana laana toka kwa Mungu vijana wanaye fanya huo ujasiri wa kuvikojolea vitabu vitakatifu Vya Mungu.
   
 9. D

  Daema Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  hapana lile tundu hakuziba wenzake nanazibia pampaz
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  alikuwa ana hakikishia jamii kuwa vitabu hivyo ukivikojolea watakao kuwa vicha ni wenye vitabu..
   
Loading...