Wakati Umma Umefunga Safari Kwenda Kwa 'Babu' Loliondo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati Umma Umefunga Safari Kwenda Kwa 'Babu' Loliondo....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by maggid, Mar 13, 2011.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  021.jpg

  Ndugu Zangu,

  Wakati Watanzania kwa maelfu wamefunga safari kwenda kwa ' Babu' Loliondo, kimwili, kiakili na kiroho,kuna wengine wajanja wana safari yao.

  Ndio, sasa Watanzania kwa mamilioni wamehamia Loliondo. Kama hawako njiani kwenda huko, basi, wanaongelea Loliondo. Hivyo basi, wameshafika kwa ' Babu', Talk about philosophy of mind!

  Na kuna mambo ya msingi kabisa tumeshayaweka kando. Angalia hayo ya pichani. Jarida la The East African limekuja na habari kubwa. Kesho litakuwa mitaani. Mie nimebahatika kulikamata leo. Lakini ah! Ni Watanzania wangapi watakaolisoma jarida hili katika wakti huu wa kuhangaikia nauli za kwenda kwa ' Babu' Loliondo?

  Labda ndio maana, Baba Askofu Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo ameongea kwa uchungu jana; kuhusu Dowans, amehoji kwanini Serikali ilazimishwe kuilipa Dowans.

  Na Baba Askofu akasema; " Kuna baadhi ya viongozi ndani ya Serikali wamekuwa wakitenda mambo mengi mabaya dhidi ya wananchi na kuyaficha kwa gharama yoyote".

  Hayo ni maneno mazito kutoka kwenye kinywa cha Baba Askofu. Swali linabaki, ni Watanzania wangapi wamemsikia Baba Askofu Kadinali Pengo?

  Maggid

  Dar es Salaam
  Jumapili, Machi 13, 2011
  mjengwa
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  maggid we hutaki kwenda?but haya maneno ya kardinal kuna watu wataunganisha dot hapa watayaunganisha na udini. You just wait here you will see.
   
 3. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,433
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Hatimae Sauli kaongoka??????
  Hongera sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tunaomba uendelee na moyo huu huu!!!!
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,433
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Dar could buy Dowans under proposed law  Tanzania has come up with a Bill, the proposed Public Procurement Act, 2010, that if passed by parliament, will pave the way for the amendment of government procurement laws to allow the purchase of secondhand plants and machinery to tackle the crippling energy crisis facing the country.

  The move - which might put the country on a collision course with the World Bank - may also pave the way for the purchase of the Dowans Tanzania Ltd power generation equipment.

  Tanzania recently failed to use the option to acquire the equipment belonging to Dowans Tanzania Ltd, because of the strict regulations under the current Act which, requires all procured goods to be new.

  The current Act (Public Procurement Act, 2004) states in regulation 58 (3) "Motor vehicles, heavy plant and spare parts to be purchased shall be brand new."

  Whereas the current law and World Bank procurement procedures ban the purchase of secondhand motor vehicles, heavy plants and spare parts, the proposed law will allow such transactions.

  According to Section 64 (1) of the proposed Bill: "Emergency procurement may be made where the accounting officer determines that it is in the public interest that goods, works or services be procured as a matter of urgency."
  more...

  The East African:  - News |Dar could buy Dowans under proposed law
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,995
  Trophy Points: 280
  Serikali inajua kucheza na akili za Wadanganyika
   
Loading...