Wakati umefika wa kuwa na larger (> 10,000) denomination bills | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati umefika wa kuwa na larger (> 10,000) denomination bills

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Cynic, Jan 24, 2012.

 1. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Nadhani wakati umefika wa kuanzisha noti kubwa zaidi ya sh 10,000 (~$6/~€4). Noti ya 10,000 ni ndogo sana ... yaani imekuwa hadi mtu unajukuta unaenda ATM kila siku! Haya, na huko kwenye ATM zetu, uwepo wa pesa ni bahati, foleni kama kawa, etc. Tuondoleeni hii kero.
   
 2. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni kweli pesa haina thamani hasa kutokana na hiked prices lakini badala ya kuwa na higher digit bills, tunaweza ku-cancel sifuri tatu (000) na kubakia na lower denomination lakini zenye thamani kubwa kwa mfano Ghanaian cedi ilikuwa sawa TZS lakini miaka mitatu iliyopita wali-cancel 3-zero sasa hivi 1cedi= usd 1.6-1.7. Yaani 10k inakuwa noti ya Tzs 10. Sina hakika lakini nadhani higher denomination ni dalili mbaya za uchumi.
   
Loading...