Kuanzia chekechea hadi chuo kikuu umekosa mchumba unadhani utampatia hapa Jf?[/QUOTE
Watu wengine bana; badala ya kuwatia moyo wenzao wao kazi ni kuwakatisha tamaa! Wewe ulipata mchumba na kuoa ukiwa chekechea, mimi nlipata mchumba na kuoa baada ya kutoka chuo, tatizo liko wapi? Kwa mawazo ya aina hii, Tz has a long way to success.
Kama huna mchango soma,usepe sio kuwakatisha tamaa wenzio.
Dogo, songa mbele, who knows? Labda my wife wako yuko JF, aweza kuwa si memba kuwaepuka kina Mze
Yale uliyotuma kwa uporoto hayajajibiwa au?..Legeza vigezo kidogo nitume maombi.

Kila la kheri... Umeandika huna utani, hope mungu atakujalia utapata mke mwema.. Husninyo asikuzingue ni mke halali wa Klorokwini... Mke wa mtu sumu!

Yale uliyotuma kwa uporoto hayajajibiwa au?..
Hivi kumbe upo? Nilikutafuta mchana nkaambiwa umeenda Igunga..mama weee! Disco kaingia mmasai.

Hivi kumbe upo? Nilikutafuta mchana nkaambiwa umeenda Igunga..
Bora umewakatalia, daaah mi ningechat na nani jaman?..hv kumbe ndo wewe walikulilia mpaka wakapoteza fahamu?.. Mimi penda wewe sana!wananchi wa igunga walinililia sana nigombee nikakataa. Nitakosa muda wa kuchati na sweetlady bure.

hv kumbe ndo wewe walikulilia mpaka wakapoteza fahamu?.. Mimi penda wewe sana!
Hahahaha! Kipindi cha kampeni mojawapo ya ahadi za Jk kwa watu wa arusha ilikuwa kuihamisha arusha na wananchi wake wote mpwapwa...nafikiri ndo yupo kwenye mchakato, tuvute subira yakhe! Si unajua Jk huwa hadanganyi?..tehkhaaa! Umenifananisha na yule mwarabu wa tz! Mmh! Mi penda wewe hadi nataka mpwapwa niisogeze arusha.

Hahahaha! Kipindi cha kampeni mojawapo ya ahadi za Jk kwa watu wa arusha ilikuwa kuihamisha arusha na wananchi wake wote mpwapwa...nafikiri ndo yupo kwenye mchakato, tuvute subira yakhe! Si unajua Jk huwa hadanganyi?..teh
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us