Wakati ukifika nahamia CHADEMA kuwarubuni kuwa ninajua jinsi ya kushinda urais

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Nikizeeka fikra nahamia CHADEMA nawarubuni mimi ninajua jinsi ya kushinda uraisi.

Jinsi mambo yanavyoendelea wanasiasa waliochoka fikra na sera wameigeuza Chadema kama chura wa kujifunzia upasuaji kwa wanafunzi wa biolojia. Kwa sasa wacha kwanza nitumikie taifa ila wakati ukifika ‘nitajigeuza kamanda’ na kuja na sera madhubuti kuwa mimi ndiye ninajua jinsi ya kuingia ikulu. Naam nitawahadaa ya kuwa mimi nina siri zote za ushindi. Ninasema hivi kwa uhakika ‘nitadekezwa’ kwani neon ‘DE’ linamaana ‘Deko’ ati ndio kusema ‘Chama cha Deko na Machozi’, ukitoa machozi kidogo tu wenyewe wanaamini umeonewa.

Kwa sasa namuona mzee wa ‘Deko’ na ‘Mahaba’ anawacheka kwa dharau huku akibugia mamilioni yeye na rafikize kisa tu ati aliwaambia sababu aliingia ikulu mara nyingi kuliko Mbowe ati alikuwa na funguo bandia. Hakina na mimi niki-Deka na Machozi’ huku nikiwahakikishia ‘uswalama wa taifa upo mikononi mwangu vijana na wafuasi wa Kyadema wataamuriwa ‘wabweke’ kwa ukali wote kwa yeyote yule atkayetaka kutoa siri za ulaghai, watapambana na watu wote nje na ndani ya Kyadema wenye nia ya kupambana nami au kuwavumbua jinsi nitakavyowaghilibu…ha ha raha ikoje hapa.

Ajizi nyumba ya njaa,ni kama kurogwa vile sasa hivi eti wao wamedanganywa kuwa shida ya nchi ni ‘udikteta’ sababu eti Raisi Magufuli hataki kuchukua ushauri wao, wamesusa. Kwa upande mingine wakibanwa wanasema eti Raisi Magufuli anatumia sera zao kutawala. Naam sasa utanielewa kama una mambo ya kufanya kulitumikia taifa kwa sasa fanya ila siku ukuona akili na fikra zimechoka sasa ni wakati wa kujiunga na Kyadema ili kuwalaghai utavuna pesa nyingi uzeeni. Nikupeni mfano mdogo tu mnamkumbuka Arcado Ntagazwa aliyewahi kuwa hadi waziri enzi za Mkapa, alifikia kipindi kaishiwa hadi kuwatapeli vijana fulana za kampeni lakini alipoamua ‘kuokoka’ ndiye mwenyekiti wa baraza la wadhamini mambo yake ni supa anang’ara kisa tu eti ana ‘siri’ za kuweza kutwaa dola. Sifa kuu ya wafuasi wa Kyadema ni matusi na hasira pasipo hoja.

Jiulize ndani ya wiki moja wameshashika hoja ngapi? Hakuna anayekumbuka ndani ya Kyadema kwamba nini kipaumbele Jumatatu, Njaa, Jumanne,maji, jumatani ukame, alhamisi raisi kavunja katiba leo ijumaa wameibuka na hoja ya kwanini Dr.Possi ateuliwe balozi? Ni lazima tumpongeze Raisi Magufuli kwani anahakikisha anawatesa na ‘vijitukio’ ambavyo kwa hakika wanajikuta kila muda wanajadili huku wamekaza shingo wakitaka kutulia anarushia ‘kaa la moto’ hawakawii kuita wanahabari. Pengine katika Mwanasiasa duniani kwa sasa anayeweza kuwatesa wapinzani wake ni Raisi wa Tanzania, chaguo la watu wengi ndugu yetu,Mtanzaia nambari moja,Mzalendo Dr.John Pombe Joseph Magufuli
 
Mmeambiwa msijipitishe kuomba URAHISI shauriyenu.
 
Wewe kwa CHADEMA hata unyekiti wa msingi hupati!.
 
na mm nataka nihamie ccm ntawaambia naanzisha mahakama za kifisad za kumfunga lowasa push up za kutosha kuonesha nina afya ili niingie ikulu nikifika nawaambia sijaja kufukua makuburi kila mmoja atabeba msalaba wake ntatangaza wakat wa kampeni nataka tanzania ya viwanda nikifanikiwa kuingia magogoni ntawaambia hata ukisaga karanga nyumbani kwako tayar umenisaidia kuanzisha kiwanda

uchumi wa nchi shimon push up na uongoz wapi na wapi

Msema ukweli mpenzi wa Mungu.
 
Wakudadavua sikuoni kule kwenye wabunge sita wa kuteuliwa.
 
na mm nataka nihamie ccm ntawaambia naanzisha mahakama za kifisad za kumfunga lowasa push up za kutosha kuonesha nina afya ili niingie ikulu nikifika nawaambia sijaja kufukua makuburi kila mmoja atabeba msalaba wake ntatangaza wakat wa kampeni nataka tanzania ya viwanda nikifanikiwa kuingia magogoni ntawaambia hata ukisaga karanga nyumbani kwako tayar umenisaidia kuanzisha kiwanda

uchumi wa nchi shimon push up na uongoz wapi na wapi

Msema ukweli mpenzi wa Mungu.
Dogo, nikichoka fikra nahamia kyadema kisha nawarubuni kuwa nina muujiza wa kushinda uraisi lazima utanisujudia.
 
hata mm nikichoka chadema naenda fisiem nawaambia tanzania ya viwanda,mikopo elimu ya juu100% ntamfunga lowasa
 
Back
Top Bottom