Wakati TV za Kenya Wakirusha Live Kesi ya The Hegue; TV za Tanzania Zinaonesha Tamthiliya za Kigeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati TV za Kenya Wakirusha Live Kesi ya The Hegue; TV za Tanzania Zinaonesha Tamthiliya za Kigeni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ng'wanangwa, Apr 8, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  sijui kama ni swala la msingi sana kujadiliwa hapa, lakini jana ilibidi nijiulize inakuwaje serikali yetu inashindwa kuwapa raia wasiokuwa na uwezo wa kwenda karimjee au msekwa halls,kufuatilia mjadala wa katiba kupitia television ya taifa?

  TV ya taifa inaonesha vipindi vya ajabu ajabu sijui 'Bango', mara 'Cherekochereko', sijui 'Orijino Komedi' mara 'karume alikuwa mvuvi wa fish' mara 'Karume alipigwa Risasi'. Hii imekaaje?

  Star TV walijaribu, lakini na wao hawakuchukua raundi wakapotea. Wakatuwekea kipindi cha 'msanii wetu wa mduara'. Kila kitu usanii tu.

  Lakini vyombo vya habari vya jirani zetu Kenya huwa hawana mzaha kunapokuwa na mambo ya msingi yanayohusu taifa lao. Iwe KBC, iwe Citizen, iwe NTV. kipindi cha mchakato wa katiba yao kila kitu kulikuwa 'live and interactive'.

  Jana vilevile, "The Ocampo Six" ilikuwa live kwenye TV za Kenya.

  Lakini Bongo mmmmmmmmmmmh!!

  Tanzania bado sana.
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa Bongo vyombo vya habari hatuna. Ingekuwa Mkutano mkuu wa CCM kila Redio na TV zingetuonyesha matangazo lakini kwa masuala mazito ya kitaifa huwezi kujua kama kuna TV hapa.

   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Masuala ya msingi kwa vyombo vyetu, iwe hii ya umma TBC au hizi nyingine ITV na *tv ambazo kwa hakika sio za binafis tena kwa vile zinaufikia umma wa watz, ni pale kunapokuwa na mkutano wa ccm kuadhimisha miaka yake ya kuzaliwa.

  Ninataka kujiaminisha kuwa pamoja na amani tunayojivunia, ile kitu inaitwa national identity sisi ipo kidogo sana tofauti na wakenya ambao wanajitambua kuwa ni wakenya na hivyo mambo ya msingi hayachagui ubinafsi au u-umma.
  Katiba ni suala la watz wote lakini hizi tamthilia wanazotuonyesha hazitusaidii chochote katika mustakabali wa taifa letu:disapointed:
   
 4. wazolawiki

  wazolawiki New Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kumbe bado mnaangalia Tv!! Poleni sana
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  Rais na wizara yake sio kwamba hawajui hili jambo, wanalijua sana na hawataki tu kutuonyesh alive huu mchakato, ukimnyima mtu information umeshamnyima haki ya kuongea , kwa sababu utaongea nini ilihali hujui kitu gani kinaendelea?
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  wewe unaangalia nini ndugu yangu?
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wanafanya makusudi na wanalijua hilo
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaaaaaa ndio bongo hiyo hawataki wananchi wajue..............tunarudi kulekulee enzi za ujamaa na kujitegemea tv ilikua ikulu tu
   
 9. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wamemuondoa TIDO na kwa kuhisi tu ndiko alikokuwa akiipeleka TBC. Ikumbukwe TBC walijitahidi kidogo kujaribu hata kuonyesha kuapishwa kwa Obama moja kwa moja kutoka Marekani. Wakati TV zingine za Tanzania zilikuwa zikionyesha kupitia CNN na BBC.
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Kenya wapo juu sana utangazaji wa habari.Very professional and well informed staff
  (July Gichuru,Jeff Koinange
  etc)Note no less than 3 tv station ntv/ktn/capital had their news anchor at the Hague transmitting live via satallite link.
   
 11. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimefurahi sana. kwa namna moja au ingine athari za mwl nyerere zinaonekana mpaka leo. kipindi chake tv ilikuwa ikulu tu na wengine tulikuwa hatujui kama hata kuna kitu kinaitwa tv wakati wenzetu wazenji walikuwa nayo long time (1960s).
  kam si juhudi za mwalimu katika kuwanyima watu taarifa basi huu utamaduni tusingekuwa nao, na mengineyo mengi. you pipo watch out and get out of the box
  simply acha kulalamika kwani hiyo ndo misingi imara aliyotuachia mwl!
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  1] Kwanza journalists/ broadcasts hawana uzalendo na nchi yao
  2] Pili hata waajiriwa wengi wa TBC,ITV,CH10,STRTV ni wana ukoo / wenye sifa zenye utata(incompitent) hivyo waoga kutimuliwa
  3] Wengi wao bado wana damu ya CCM/ ni makada maarufu wa ccm
  4] Wanafanya kazi kwa sifa (kujikomba) kwa waajiri wao ili wateuliwe kwenye chama
  5] Wengi wao elimu zao ni ndogo sana (low qualifications)
  6] Wamiliki wa Vyombo hivi ama ni makada ama ni wafanyabiashara wenye kuhitaji misamaha ya kodi kila kukicha. Hizi ndo media za Tz na wanahabari wa Tz (95%)
  Ushauri wangu ni hivi tuanze Movements za kuidai TBC maana pale ndo petu ...
   
 13. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni ukosefu wa uzalendo pamoja na utamaduni wa kufanya mambo kwa jazba,ushabiki na hata kwa msimu. Hizi ndizo sifa kuu za vyombo vya habari vya tz.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kuna mtangazaji mmoja, kwenye redio fulani, jana wakati akitangaza mechi ya yanga na african lyon, alisema 'nchi yetu inajivunia kuwa na mchezaji mwenye kipaji kama Davis Mwape'.
   
 15. B

  Bobo Ashanti Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  100% right mkuu
   
 16. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shame to all Tanzanian TV media kwa kushindwa kutuonyesha midahalo ya utoaji wa maoni juu ya katiba mpya iliyokuwa inafanyika Dodoma na Karimjee Dar Es Salaam. All the media wanafahamu kama si kujua kuwa watz walikuwa ancious kuona kinachoendelea kwa kuwa ni wa TZ wachache sana walioweza kushiriki.

  1. Big shame and ooooohhhhhhhhhhhhhhh buuuuuuuuuuuuhhh toTBC1, kituo chetu cha taifa ambacho kodi zetu ndio zinazoendesha kituo hicho. Ishu ya muhimu na msingi kama hiyo na kushindwa kurusha live waka rusha ishuz zisizo na tija mbele ya wengi. mliogopa au? falsafa yenu ya ukweli na uhakika ipo wapi?Baadae mkatuletea eti Habari Mapsuko (BREAKING NEWS) wananchi walivyokuwa wanang'ang'ania kuingia ukumbini na polisi kutumia nguvu, lengo lenu ni kujenga chuki kuwa watu sio wavumilivu?

  2. Big shame to Star Tv waliohaidi wangeonyesha live yanayoendelea Dodoma, tena wakaanza na uchambuzi na picha za nyuma kuonyesha mambo yameeanza halafu wakakatisha matangazo pasipo kutoa taarifa au hata kuomba radhi

  3. Shame to Channel Ten ambao falsafa yao ni kutoa habari bila woga wala upendeleo, mbona woga uliwapata kuonyesha midahalo hii?

  4. shame to ITV ambao toka mwanzo harakati za katiba mpya zilipo anza ndio kituo pekee waliokuwa wanaonyesha live midahalo hii ila kwa mdahalo huu nao wakaingia mitini na kutuacha kama watoto yatima.

  Shame to usalama wa taifa naamini kabisa pia wameingilia uhuru wa vyombo vya habari na kuvitishia mpaka vyote kutoonyesha

  All tv Media zina stahili kuiomba radhi jamii ya kitanzania kwa kushindwa kufikia matamanio yetu kwa kushindwa kuwashirikisha watanzania katika midahalo muhimu kama hii kwa mustakabali wa taifa lao na maisha yao kwa ujumla
   
 17. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu naunga hoja mkono!
   
 18. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu very well noted! Bongo bado sana na hii inasababishwa na hii serikali ya kuficha ficha mambo ya miaka ya 47. Inaniudhi acha kabisa. Sijui mchakato wa hii katiba kama itatufikia huku kijijini!
   
 19. Quicklime

  Quicklime Senior Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hii ndo tanzaniaaa! Kila ki2 kinafanywa kwa malengo. So wabunge wanapaswa kutusaidia kuihoji serikali.....
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Proudly kenyan...
   
Loading...