Wakati tunajiandaa na Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020: Tanzania yaongoza Afrika usambazaji umeme Vijijini

Ndugu zangu,

Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.

Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu, sasa rasmi Tanzania yaongoza Afrika katika usambazaji wa umeme vijijini.

Sote tunatambua umuhimu wa nishati ya umeme kwa maendeleo ya nchi

Hongera JPM
Hongera serikali
Hongera CCM

#2020 kura kwa John
Hivi kwa nchi kama Tanzania iliyozungukwa na maziwa na yenye mito mingi wanawezaje kupeleka umeme vijijini ambao bado hatuna wa kutosha halafu tunashindwa kuwapelekea wananchi maji safi na salama ambyo ni rahisi zaidi na yanahitajika zaidi kuliko huo umeme. Nafikiri watu wanahitaji maji zaidi kuliko huo umeme ....!!
 
Nadhani hakuna mantiki ya kumsifu mtumishi wa umma anayefanya kazi na kulipwa mshahara kwa fedha za umma. Kwani huyo mtumishi hajawahi tumia fedha za nfukoni mwake kutekeleza anayopaswa kufanya. Tusitengeneze miungu watu bila saba u za msingi.
 
Mbinguni, tuliahidi na sasa ni muhimu kusema tulichofanya. Sio kusifu bali ni mwendo wa kutoa mrejesho kwa wenye nchi
 
Dunia nzima wangeshangaa kama hayo yasingefanyika kwani ni fedha zetu walipa kodi! Kinachoshangaza dunia nzima ni namna utawala huu unavyotesa wananchi wake kwa kuvunja haki za binadamu na kukandamiza uhuru wa kupashana habari!
Ileje, Uhuru upo Ila Uhuru bila mipaka ni ukichaa. Ukifanya hivyo, nchi itageuka kuwa na makambale, hamna Cha baba, mama, mtoto wala mjukuu, wote wanamuchebendevu.

Tatizo lenu mnaopinga ni kuwa hamtaki kusikia mafanikio na kama hamjuo nyie ndio sababu kubwa ya sisi kuhakikisha tunayatangaza tukiyofanya kwani mnazunguka huku na huko kuwaambia watu kuwa serikali hii haijafanya kitu.

Isitoshe, hata Kama ninkodi ya wananchi, kumbuka serikali iliyopo madarakani ndiyo iliyopewa dhamana ya kuhakikisha inapanga na kusimamia Kodi hizo. Matumizi mazuri ya Kodi hizo ni jambo la kupongezwa
 
Hivi kwa nchi kama Tanzania iliyozungukwa na maziwa na yenye mito mingi wanawezaje kupeleka umeme vijijini ambao bado hatuna wa kutosha halafu tunashindwa kuwapelekea wananchi maji safi na salama ambyo ni rahisi zaidi na yanahitajika zaidi kuliko huo umeme. Nafikiri watu wanahitaji maji zaidi kuliko huo umeme ....!!
Bwana sifuri, kupanga ni kuchagua. Hata miradi ya maji pia inatekelezwa
 
Wewe unaishi Dar, njoo mikoa Kanda ya ziwa ili useme umeme umeenea kila kijiji. Hapa bukombe Jimbo la mh. Doto biteko Kijiji Cha nampalahala tuko gizani tangu Uhuru, huko geita mjini Kijiji kinachopakana au kuelekea eneo la kukuruma wanakochimba dhahabu hata nguzo za umeme hawazijui.

Maeneo ya bisolwa Kona nyangwale wanaona nguzo zinapia na umeme Ila Hakuna transformer. Huku katavi na simiyu usiseme. Mallya unaishi dar kuwa mpole. Niulize waziri wa nishati kwao ni Geita Ila geita vijiji na maeneo mengi hayana umeme na Kama ipo umepita tu wananchi wanahesabu nguzo tu.
Kwa uwezo wako unatakiwa kuwa mwana fb sio jf hujaambiwa kuwa vijiji byote ila idadi kubwa wamewekewa umeme
 
Ileje, Uhuru upo Ila Uhuru bila mipaka ni ukichaa. Ukifanya hivyo, nchi itageuka kuwa na makambale, hamna Cha baba, mama, mtoto wala mjukuu, wote wanamuchebendevu.

Tatizo lenu mnaopinga ni kuwa hamtaki kusikia mafanikio na kama hamjuo nyie ndio sababu kubwa ya sisi kuhakikisha tunayatangaza tukiyofanya kwani mnazunguka huku na huko kuwaambia watu kuwa serikali hii haijafanya kitu.

Isitoshe, hata Kama ninkodi ya wananchi, kumbuka serikali iliyopo madarakani ndiyo iliyopewa dhamana ya kuhakikisha inapanga na kusimamia Kodi hizo. Matumizi mazuri ya Kodi hizo ni jambo la kupongezwa
Ndani ya nchi hakuna baba, mama, mtoto wala mjukuu. Hayo ni mambo ya kifamilia. Ndani ya nchi wote ni watu na wana haki sawa. Hakuna mtu wa kujimilikisha nchi, hivyo wazo la kila mtu liheshimiwe lakini siyo lazima likubalike. Ndani ya nchi kuna viongozi lakini hawana haki zaidi ya wengine na wala siyo lazima mawazo yao yote yakubaliwe, hivyo masuala ya kukosoa na kuunga mkono ni budi yapewe haki sawa na si busara kulazimisha watu kusifia kila kitu au jambo la kiongozi.
 
Bwana sifuri, kupanga ni kuchagua. Hata miradi ya maji pia inatekelezwa
Sawa Mkuu. Lakini speed hakiko Sawa. Pamoja kwa kupanga ni kuchagua... Hii inaonyesha ni jinsi gani tusivyo Makini katika kupanga. Maji ni muhimu zaidi ya umeme. Wananchi wengi tu wanakufa kwa kukosa maji Safi na salama. Lakini hakuna au ni wachache sana wanaokufa kwa kukosa umeme... Huo umeme wenyewe uliopo nchini bado siyo wa uhakika.
 
Pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo wa fake propaganda toka
Pepo unayeteseka unaposikia jina la Lissu toka
 
Pascal, kuunga mkono hoja kwa wote wapenda maendeleo ni jambo la busara. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, mzee Magufuli chini ya CCM ametuheshimisha Sana watanzania. Huyu ni muhimu aungwe mkono kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Watu waliopotea na waliompiga Lissu bunduki ndio wamesambaza umeme. Sisi tumichoka ccm, kiwake tu wote tuingie barabarani. Ajira zipo kwa wana ccm tu ni kuteuwana tu kila kukicha. Sasa kiwake then tuone je sisi na njaa zetu tutakuwana cha kupoteza?
 
Ndugu zangu,

Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.

Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu, sasa rasmi Tanzania yaongoza Afrika katika usambazaji wa umeme vijijini.

Sote tunatambua umuhimu wa nishati ya umeme kwa maendeleo ya nchi

Hongera JPM
Hongera serikali
Hongera CCM

2020 kura kwa John
Endeleeni tu kuhorojoa na kumlisha upepo. Unataka kuniambia Tanzania imeizidi hata Afrika Kusini na Misri? Tupe takwimu za motomoto mlizomaliza kuzipika muda huu. Huu uongo uongo kuanzia ngazi za chini hadi juu kwa ccm ni jambo la kawaida kabisa, hamna hata haya.
 
1597836211581.png
 
Hayo ndo matusi hua mnasema lisu anatukana? Hahahahahahahaj

Jamaa yenu Lissu kama karukwa na akili kutoka kutukana vyombo vya ulinzi na usalama jageuka huko Morogoro kuvisifia kwa kulinda amani ta Tanzania. Na kaonesha jinsi ambavyo kawa tapeli wa kisiasa anawapaja polisi mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Back
Top Bottom