Wakati tunahesabu siku kuelekea miaka 50 ya uhuru hebu tuipe challenge kidogo serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati tunahesabu siku kuelekea miaka 50 ya uhuru hebu tuipe challenge kidogo serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Dec 2, 2011.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 453
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Sio kwamba hamsikii kila tukiongea kwenye makongamano, migongano ya hoja, vitimoto na maandamano ni kwamba tu mnaziba masikio na hamfikirii kuwa na mipango dhabiti ya maendeleo zaidi mnawaza kula tu ndio sababu sasa tumeona bora kuwaandikia kwani mkiona tumevaa kila siku labda zitaclick akilini mwenu.

  Pata moja kwa ajili yako kuishawishi serikali kuwa na mipango dhabiti ili kupata maendeleo ya kuonekana sio kusemwa tu midomoni alafu hainekana kwa kuridhisha. Waonyeshe kuwa miaka 50 iliyopita hatujaridhika kwa kiasi kikubwa

  Tsh. 15,000 tu.
   
 2. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nitaipataje hii boss
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 487
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mshahara wa serikali sehemu nyingi hatujapata,na hatujui ni lini utatoka,pia ukitoka ni kiduchu maisha juu,Je ukitoka bado zitakuwepo na ka bei katapungua japo kidogo.Ili nasi wanaharakati wasio na kitu tupate?
  :argue::juggle:
   
 4. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 453
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Usihofu ndugu zipo tu anytime nipigie utakuwa umepata kuhusu bei usihofu will talk na hata ukiwa na rafiki zako wanataka naweza kupatia kwa jumla ukaenda kuwauzia wewe
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  LIVANGA :hatari:


  NITAKUSHTAKI HII NI BRAND YANGU NA INA COPYRIGHT!
   
Loading...