Elections 2010 Wakati tunaendelea kupata matokeo ya uchaguzi

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Bila shaka mtaniunga mkono, wakati tunaendelea kupata matokeo ya uchaguzi toka sehemu mbalimbali na hali halisi inavyojitokeza, hii ndio suluhisho ya yale yaliyokuwa yakielezwa na vyombo vingi vya habari. Tumbili tia akili...yale mashirika yaliyoleta taarifa za uongo za kuchakachua wafunge virago au mnasemaje wana JF.
 
Back
Top Bottom