Wakati tukisubiria asali ya anga kutua,ebu pitia hapa kuona sourcing ya vifaa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Aisee hili dude noma sana
IMG_20180704_135243_065.jpg
 
Waenda Kilimanjaro December poa kweli kweli walahi!
 
These are the questions to ask, not the source of spares
You are very correct Mkuu.
Maana hata like Panton la Dar- Bagamoyo alilonunua akiwa Waziri nalo am sure limekuwa assesmbled na vifaa from different manufacturers.
Leo lipo wapi?? Ilifanya kazi kwa muda gani?
 
Nyie hamjajua kinachofanywa ni uzinduzi hata kama ni kibovu ili kukusanya points zakuja kuombea tena kura 2020
 
Back
Top Bottom