Wakati tukisubiri hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake, tutafakari kidogo

naumia sana huyu baba wa watu anavyopitia mateso makali ya kuwekwa kizuizini kwa ajili ya watu wengine, ila duniani tunapita kwa hiyo wenye mamlaka wasione wamefika....MBOWE SIO GAIDI.....
 
eti Mh. F.Mbowe alifadhili watu kupanga magogo barabarani njia ya morogoro .... pathetic ...
 
Back
Top Bottom