Wakati tukisubiri hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake, tutafakari kidogo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,215
2,000
Tusome kwa umakini

Jaji%3A_Maelezo_yanayobishaniwa%2C_maelezo_yalichukuliwa_Nje_ya_muda%2C_Je_ulitoa_hayo_maelezo...jpg

Kesho_ni_hukumu_Ndogo_kwenye_kesi_Ndogo_ya_Mh._Freeman_Mbowe_na_wenzake..jpg

instagram.jpg

instagram(1).jpg

%23MboweSioGaidi.jpg

FB_IMG_1570488518462.jpg
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
3,231
2,000
Mkuu kesho nimeaga kwenye kibarua mapema ,lazima kiongonzi wangu nisikilize KESI yake, maisha tunapita ila HAKI itabaki KWa jamii yangu iliyonizunguka iwe jua au mvua na kizazi changu pia , chi imekua na wahuni Sana KILA mtu anavutia kwake ,anzia vyama uchwara , mashirika ,japo ukimwangalia wamekauka hata pesa hawana , Mungu anasema watakoma Sana wasubili
 
Karibu sana , nitawaletea moja kwa moja kutoka kizimbani
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
Mungu ni mwema haki itashinda dhuruma
Hawa watapata wapi haki mkuu.

Haki yao tayari imenyang'anywa kwa kuwekwa jela muda wote huu kwa sababu za uonevu tu!

Watadai haki zao vipi hawa,. Kuondolewa mashtaka pekee hakuwarudishii haki yao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom