Wakati tukijiibia pesa zetu wenyewe Kenya wanaijenga nchi yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati tukijiibia pesa zetu wenyewe Kenya wanaijenga nchi yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Jan 26, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,862
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Tutakapomaliza kugombania pesa za Dowans na EPA tusianze kulalamika kuwa Kenya wanatunyanganya watalii kwa kujenga uwanja wa ndege karibu na mpaka wetu.

  Inauma, inatia huzuni, aibu kwa taifa lakini ni ukweli Kenya wako mbele yetu kwa mambo mengi sana tupende tusipende.

  Flyover construction Project, Nairobi, Kenya 2010-11.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  Thika road flyover construction, Kiambu county, Central Kenya 2010.

  [​IMG]
  The fly-over under construction, Muranga road.
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sisi tunaishia ahadi tu za JK na wezi wa mamilioni, puuuuuuuuuumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
   
 3. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Not the current govt. Na ya Iringa barabara ile ni msaada kutoka scandnavian countries. :kev:
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  bila kusahau Airport yao.Sisi yetu inanuka choo na escalators mbovu huumwaka wa 4!

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,862
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Viongozi wetu wamekalia uswahili mwiiiiingi ahadi kibao sijui JK kaahidi meli ngapi hivi angetoa ahadi moja tu ya nguvu na kuitekeleza angebadilika nini.
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ungedhani airport ya bagamoyo ingekuwa inakaribia kumaliza by now lakini wapi!!
   
Loading...