Wakati tukifuatilia msafara wa Billionare Mengi Live kuelekea Machame nawakumbusha tu mbunge wa hapo ni Freeman Mbowe.

Wale ambao hawajawahi kuona sheli kijijini , hii ni Machame
59708925_2061041757340121_3651234599788347392_n.jpeg
 
Hata mimi ningekua Raisi ningewaonea wivu sana wachagga kwani wamefikia ile stage ya maisha bora kwa kila Mtanzania...lazima niwe na wivu nao ni kwanini wamefika sehemu tunayotaka kufikisha sehemu nyingine kubaya zaidi ni jinsi ilivyo ngumu kufikia hayo maendeleo...Chato hoyee....Kolomije hoyee
 
Kwa wale ambao hawajawahi kufika uchagani leo wanaondowa ushamba muone kutoka Kia mpaka kijijini Machame msafara haujakanyaga hata dimbwi moja ni lami tupu na hatujaona nyumba ya tembe hata moja, Wachaga oyeeee.

Hoyeeeeeee
 
Hata mimi ningekua Raisi ningewaonea wivu sana wachagga kwani wamefikia ile stage ya maisha bora kwa kila Mtanzania...lazima niwe na wivu nao ni kwanini wamefika sehemu tunayotaka kufikisha sehemu nyingine kubaya zaidi ni jinsi ilivyo ngumu kufikia hayo maendeleo...Chato hoyee....Kolomije hoyee
[/QUO

Ni kweli kabisa,wachaga wana umoja sana kila mahali, wanachama vyao vya kuchangiana ni shida,najifunza sana kwao
 
kuna zezeta moja la ccm pale uwanja wa ndege Kia likajipachika ndio msemaji wa familia kabla halijashushuliwa na msemaji wa familia mpwa wake Mengi kuchukuwa nafasi yake na kumkaribisha Askofu kwa sala na baadaye DC wa Hai ambaye ni mwenyeji na Rc wa Kilimanjaro. Kuna mijinga inaingilia protocal na misiba ya watu mpaka nje ya mipaka yao ya kazi, ni bora hata RC Ole Sendeka shida yake kubwa ilikuwa aonekane tu kwenye runinga.
J. Muro ni mmachame na kesho ndipo mtapotambua umachame wake km hata Mbowe ataonekana kusogelea mic, na kibano hicho atasaidiwa na mGambo na Mmakonda wa Dar
tusiandikie mate
 
Ndo maana Wachagga wanastahili kuwa na nyadhifa za juu nchi hii sababu wanapenda kwao watokapo... hii ni tofauti na WAGOGO ambao wamesusa kwao !! Infact, Spika kumpa Mgogo ni sawa na kupoteza ni heri sngepewa MCHAGGA, MPARE au hata MNYAKYUSA...

Mzee Malecela alipopewa U- PM akahamisha kiwanda cha soda toka DOM kwenda MBEYA kwa Mkewe...na hii ndo tabia ya WAGOGO..they hate themselves !!
 
J. Muro ni mmachame na kesho ndipo mtapotambua umachame wake km hata Mbowe ataonekana kusogelea mic, na kibano hicho atasaidiwa na mGambo na Mmakonda wa Dar
tusiandikie mate
Team madole taarifa zao tunazo kutoka kwa Da Mange kakosekana Le Mutuz tu hapo, na hali ya hewa inaruhusu Moshi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom