Wakati tukifuatilia msafara wa Billionare Mengi Live kuelekea Machame nawakumbusha tu mbunge wa hapo ni Freeman Mbowe.

Siri ya wachaga ni kuwa huwa tunachanga hela kwa ajili ya maendeleo sio kusubiria serikali kufanya kila kitu. Kwa mfano kujenga mashule, barabara madaraja watu wanajitoa sana asiye na cha kuchangia anaenda kufanya kazi kwenye hiyo miradi. Juzi juzi nimetoka kwa babu yangu, walikua wanachanga kila nyumba elfu mbili mbili kwa ajili ya kuboresha barabara za ndani ndani na ilichangwa zaidi ya bilioni moja.

Hii ni kweli, kwa mfano mwezi wa 9 mwaka jana nilienda kijijini kuzika, kabla hata marehemu hajazikwa salamu za rambi rambi zikitolewa mwenyekiti wa kijiji akachomekea suala la michango na nguvu kazi ya kutengeneza barabara za ndani ndani pamoja na kuhudhuria vikao vya maendeleo, huwezi kupita vijiji vya marangu mpaka mwika ukakuta njia haijachongwa hata kama siyo ya lami
 
Unashangaza sana, Mengi ni mjomba wa Mbowe..
Mkuu bado masaa kadhaa tu hawa wanafki wataumbuka hakuna wanalolijuwa ndio maana Freeman hakutaka kuonekana Kalimjee kunakojaaga wanafiki na wauza sura tu, kukipambazuka ndio watamjuwa Mbowe na Askofu Shoo.

Na msimamizi mkuu wa shughuli zote hizi kwa Moshi ni mpwa wake Mengi meneja wa kampuni ya Tanzanite kampuni tanzu ya IPP ndugu Mushi. Jerry Muro bila aibu alitaka kujipendekeza usemaji wa familia, hawana hata chembe ya aibu watu hawa.
 
Unashangaza sana, Mengi ni mjomba wa Mbowe..
unachoshangaa ni kipi? sijazungumzia ujomba
nazungumzia ubabe wa Mpalestina J. Muro na Mpalestina Mbowe nani mbabe? km hawa ndi dugu moja na Mkuu wa Wilaya anathubutu kurusha clip ya kumnanga Mbunge hiyo jamii inapendana?
(sema tu uzi ni wa Matola ningekuwekea clip ya Muro, arekebishwe huyo dogo kwanza)
kama na wewe upo huko subiri km mic Mbowe atapewa!
hayo mazishi ya mfanyabiashara yameshaingiliwa na Govt, alitakiwa mwenye Jimbo ayabebe.
 
Wachaga waliamka kitambo sana nilienda Tarakea huko nyuma nyuma kabisa nikakutana na wakazi wa huko wamejenga bara bara jamaa wengine wamewajengea wazazi wao majumba ya hatari harafu wana mpango wa kuchanga waweke bara bara ya rami...au mwingine anaweka mwenyewe rami mpaka kwao nimekutana na hivyo vitu huko ni hatari hawa jamaa kwa maendeleo wacha sisi tuendelee kucheza mdundiko bhana...
 
Sasa badala ya sisi jamii duni kujifunza kwao tunawawekea bifu na kuwakejeli na kuanza kuwatenga kwenye uongozi wa nchi, hivi ukijitenga na Myahudi unayeumia si ni wewe?

Halafu kuna taarifa Mangi mkuu wao Mzee Marleale alikataa ujinga wa kupeleka watu wake kwenye vita ya majimaji kwa sababu aliwaeleza wazi ya kwamba kamwe risàsi haiwezi kugeuka maji na anayebisha aje na huo uchawi yeye anayo bunduki yake ataweka nguruwe mbele mseme maji yeye apige tuone kama risasi itageuka maji.

Hii ndio sababu makabila ya jamii za watu wajinga ndio walikufa kwenye vita ya majimaji na jamii hizo mpaka kesho bado ni jamii duni kabisa, ndio sababu Mangi mkuu alitaka kaskazini iwe nà Taifa lao huru ili kujitenga na watu wajinga.

Nyerere alifanikiwa kudhibiti hili na ndio maana Tanzania ni nchi uliyojaa wajinga kwa sababu kuna kanda za watu duni na wajinga huko ndipo ulipo mtaji wa ccm, mfano mtu kama mgogo hawezi kuchukia umaskini kwa sababu kazi ya kuombaomba wanaimudu.
 
Wachaga waliamka kitambo sana nilienda Tarakea huko nyuma nyuma kabisa nikakutana na wakazi wa huko wamejenga bara bara jamaa wengine wamewajengea wazazi wao majumba ya hatari harafu wana mpango wa kuchanga waweke bara bara ya rami...au mwingine anaweka mwenyewe rami mpaka kwao nimekutana na hivyo vitu huko ni hatari hawa jamaa kwa maendeleo wacha sisi tuendelee kucheza mdundiko bhana...
kile kikundi kidogo cha wasukuma kilichopo serikalini kikisikia vitu kama hivi, kinazidi kuwachukia wachaga.
 
Kwa wale ambao hawajawahi kufika uchagani leo wanaondowa ushamba muone kutoka Kia mpaka kijijini Machame msafara haujakanyaga hata dimbwi moja ni lami tupu na hatujaona nyumba ya tembe hata moja, Wachaga oyeeee.
mramba oyeeeeeee kwa lami
 
unachoshangaa ni kipi? sijazungumzia ujomba
nazungumzia ubabe wa Mpalestina J. Muro na Mpalestina Mbowe nani mbabe? km hawa ndi dugu moja na Mkuu wa Wilaya anathubutu kurusha clip ya kumnanga Mbunge hiyo jamii inapendana?
(sema tu uzi ni wa Matola ningekuwekea clip ya Muro, arekebishwe huyo dogo kwanza)
kama na wewe upo huko subiri km mic Mbowe atapewa!
hayo mazishi ya mfanyabiashara yameshaingiliwa na Govt, alitakiwa mwenye Jimbo ayabebe.
Mbona nimeona Mbowe kapewa MIC na akamjibu yule aliewasimanga wachaga pale Kalimjee? Sijaona dalili yoyote ya Jerry Muro hata kwa mbali tu.
 
unachoshangaa ni kipi? sijazungumzia ujomba
nazungumzia ubabe wa Mpalestina J. Muro na Mpalestina Mbowe nani mbabe? km hawa ndi dugu moja na Mkuu wa Wilaya anathubutu kurusha clip ya kumnanga Mbunge hiyo jamii inapendana?
(sema tu uzi ni wa Matola ningekuwekea clip ya Muro, arekebishwe huyo dogo kwanza)
kama na wewe upo huko subiri km mic Mbowe atapewa!
hayo mazishi ya mfanyabiashara yameshaingiliwa na Govt, alitakiwa mwenye Jimbo ayabebe.
Naona Mic ulipewa Jerry Muro na sio Mbowe.. Si eti
 
Hata mimi ningekua Raisi ningewaonea wivu sana wachagga kwani wamefikia ile stage ya maisha bora kwa kila Mtanzania...lazima niwe na wivu nao ni kwanini wamefika sehemu tunayotaka kufikisha sehemu nyingine kubaya zaidi ni jinsi ilivyo ngumu kufikia hayo maendeleo...Chato hoyee....Kolomije hoyee
Siku nikiona vijiji vya singida vimeendelea km vijiji vya moshi ndipo ntakapokubali nchi yetu imeendelea
 
Ndo maana Wachagga wanastahili kuwa na nyadhifa za juu nchi hii sababu wanapenda kwao watokapo... hii ni tofauti na WAGOGO ambao wamesusa kwao !! Infact, Spika kumpa Mgogo ni sawa na kupoteza ni heri sngepewa MCHAGGA, MPARE au hata MNYAKYUSA...

Mzee Malecela alipopewa U- PM akahamisha kiwanda cha soda toka DOM kwenda MBEYA kwa Mkewe...na hii ndo tabia ya WAGOGO..they hate themselves !!
Haya ndo yanawafanya mzidi kubaguliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom