Wakati Tanzania tunasubiri ujio wa BOEING mpya, TRUMP afuta order ya ununuzi wa BOEING

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Trump.png
 
Hawezi cancel ile order maana zishaliwa 4 bil dollars pale
Ataikubali tu na ataipanda daima
 
Trump mzee w amatamko ya kwenye twitter! marekani lazima na wao waisome
 
Ninachompendea Trump yupo very straight to the point, hana kumung'unya maneno wala hazunguki mbuyu.
 
Back
Top Bottom