Sasa povu la nini?????We kweli Bumunda,US wana ndege za Rais yaani air force one kama 10 hivi. Kwahiyo Trump Ku cancel order ni kawaida tu.
Ulitaka na sisi tu cancel order ya Boeing?
mbona nasikia wameahirisha kumuapisha January?Mbona kuna ambayo inatengenezwa na nadhani Trump ndio ataanza kuitumia baada ya inauguration yake Jan
Anataka iwe rahisi kukana baadaye maana msg za twita hazina mhuri wa ikuluTrump ananichekesha anaovoendesha Marekani kwa twiter.
Acha matusi, futa kauli hiyomabwege wa upinzani
ame cancel ndege ya raisi sio hizi zingine.
ame cancel ndege ya raisi sio hizi zingine.
Trump ananichekesha anaovoendesha Marekani kwa twiter.