Wakati Tanzania tunasubiri ujio wa BOEING mpya, TRUMP afuta order ya ununuzi wa BOEING

Ukhuty nitakualika siku ya uzinduzi.. Uje na Partner wako na kama huna Tafuta!

Tutawapalekeni hivi hivi hadi ikifika 2015 mtajiona Nchi Tajiri bila kuamini Maumivu lazima fuatilia visa vya Matajiri walioanzia umasikini watakuambia jinsi walivyopitia maisha hadi kufikia kileleni.. Trust me!
Nitashukuru
 
Mtoa post husiwe na shida ipo siku nasi tutazi cancel hizo ndege
 
Back
Top Bottom