Wakati Tanzania tukiwekeza kwenge Kupambana na Wapinzani Kenya yashika nafasi ya 10 Japani

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,474
8,692
Mashindano yalio malizika kule Tokyo yaneshuhudia Kenya ikishika nafasi ya 10 Duniani na ya kwanza Africa kwa Medali, Tanzania hatupo kokote kule, nchi iko bise na Upinzania.

Olyimpic ndo njia isio na gharama ya kutangaza utalii lakini wapi hilo sisi hatulijui tumewekeza kwenye kukamata, kuvambikia watu keshi na kadhalika.
 
Kenya hawajatuacha hapo ktk olyimpic tu mkuu.Kumbuka tu pia madini yetu ya Tanzanite na mlima kilimanjaro vimewaingizia pesa nyingi sana kuliko sisi wamiliki halali wa vitu hivyo.
 
Mashindano yalio malizika kule Tokyo yaneshuhudia Kenya ikishika nafasi ya 10 Duniani na ya kwanza Africa kwa Medali, Tanzania hatupo kokote kule, nchi iko bise na Upinzania.

Olyimpic ndo njia isio na gharama ya kutangaza utalii lakini wapi hilo sisi hatulijui tumewekeza kwenye kukamata, kuvambikia watu keshi na kadhalika.
Mzee ameishiwa fikra. Yuko bise kupambana na kifo.
 
Back
Top Bottom