Wakati Tanzania tukikusanyika viwanjani kwa furaha, Wakenya waendelea kupigwa na polisi wakati wakidai haki Zao

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

======

Police in Mombasa have arrested five protestors who were demonstrating against the alleged theft of Covid-19 funds early Tuesday morning.

The demonstrators from various civil rights groups in the city demanded action against those involved in looting of billions of shillings meant for the fight against coronavirus.

By 9am on Tuesday, protestors had gathered at Makadara grounds where they demanded accountability for Covid-19 funds as they chanted ‘Haki Yetu’ and ‘Polisi Shika Wezi’.

However, they were met with anti-riot police officers armed with batons and teargas canisters.

They were teargassed by police who engaged them in running battles along Makadara Road and part of Digo Road, obstructing traffic flow.

The protestors called on President Uhuru Kenyatta to intervene and urged for a probe into the Kenya Medical Supplies Agency (Kemsa).

Advertisement
They vowed to continue demonstrating until all the suspects involved are arrested.

While making the arrests, the police maintained that the protests were illegal due to Covid-19 guidelines.

2

Muslims for Human Rights (Muhuri) Director Mr Khalif Khelef expressed disappointment in the way the protestors were handled.

"It is very unfortunate that as I turn 71 today, I have participated in this demo which I did 30 years ago and we are still doing the same thing. We are very far away from achieving our aspirations of having a Constitution that will protect people’s rights. We did inform the police that there will be a demo according to the law two days ago," he said.

"Police response is very unfair and this is a sign that the police do not work independently. People demonstrate because there is a real problem, embezzlement of the Covid-19 funds," he added.

He called on Kenyans to have a week of civil disobedience as the country marks 10 years since promulgation of the New Constitution.

"We are back to square one. Uhuru Kenyatta and Raila Odinga want to take us back to the dark days through BBI."

3

HAKI Africa and the Fast Action Movement also expressed disgust at the arrest of activists.

HAKI Africa Executive Director Mr Hussein Khalid said the Constitution was violated outright by the police who violently dispersed peaceful protestors.

“Such a move by the police is unacceptable and should not be allowed to go unchecked. Article 37 of the Constitution guarantees Kenyans the right to protest. The protestors were fully abiding by health regulations and maintaining social distance when they were dispersed. We demand the immediate release of those arrested. We further call on the senior police officials to ensure such gross violation does not recur again,” Mr Khalid said.

========

MY TAKE: Katiba mpya, wizi zaidi na kupigwa zaidi.
 
KATIBA MPYA IPO KWA FAIDA YA UHURU NA UONGOZ WAKE SIO WANANCHI KAMA KINA MK254 WANAVYOJINADI
 
Why are u all obsessed with Kenya.U are all like bag of pampers,,Self- absorsed and full of Shits.Idiots
 
Sasa ulitaka tusijue police in mombasa are arresting people who are questioning covid 19 funds?
The audacity of u guyz.Then why don't u condemn ua govt for the way it handles and undermine the opposition.U think we don't know what's happening there.First remove the speck in ua eyes kabla kuona ya mwenzie
 
Mbona hata huku tz mkiandamana ni kipigo tu 😁😁 tena siku hizi hatavjuandamana tunaogopa maana kitachotokea ni kuwa kilema kabisa
 
Mbona hata huku tz mkiandamana ni kipigo tu tena siku hizi hatavjuandamana tunaogopa maana kitachotokea ni kuwa kilema kabisa
Hao wanaosema wana katiba mpya na nchi yao ndio nchi yenye demokrasia, kwani sisi tumejisifu kwa demokrasia?
 
ishu ni kwamba hoja zako zimekaa kichonganishi sana mkuu, sasa tz tunahusianaje na huu uzi 🤔🤔 huwa nakuchora sana ila sielewagi lengo lako
 
Jipe muda utanielewa mkuu, usikurupuke.
Wewe ndo unakurupuka mkuu, Tz tunahusiana vp kwenye shida zao huko wakati na sisi shida tunazao kibao tu, Jukwaa ni la Kenya sasa navyoingiaga humu nakutana na karibu kila maada yako kuwasema wakenya huku ukiipachika tz nakuonaga kama haupo sawa kichwani, wakenya wangekua na tabia hii kwenye majukwaa ya tz kungetulia kweli ???

Majuzi juzi tu wabunge wetu tena wanawake wamepewa vichapo heavy sana moja alipigwa buti kazunguka hewani mpaka kuvunjika mkono, naona kila moja abaki na hali yake tu, hili jukwaa liwe strictly kenyan.

Kika nikija kucheki news za kenya nakuja kukutana na maada zako zisizo na tija as ifi hili ni jukwaa la vita, Grow up mzee, unafanya vitu kama vile umefundishwa kila kitu na mtoto mdogo.
 
Sasa mbona ulisema hunielewi, tofautisha kunielewa na kutokubaliana na hoja zangu, kuniekewa unanielewa ila hukubaliani na hoja zangu, hilo ni sawa na unaruhusiwa kupinga pale usipokubaliana napo.

Wewe umejiunga mwaka huu na mpaka sasa umeweka post 600 pekee, mimi nipo hapa huu ni mwaka wa 4 nimeweka post zaidi ya 15K, hii inakuonyesha wazi jinsi nilivyokutana na maoni tofauti.

Kikubwa ninachotaka kukuambia karibu sana hapa JF, kuwa huru kuandika chochote unachojisikia bila kumtukana au kumdhalilisha mtu yoyote. Ninategemea kuona posts zako ili ikiwezekana nichangie, ila mimi huo ndio muelekeo wangu wa uchangiaji, nimetengeneza marafiki na maadui kwa uwiano sawia.
 
Huyo ni nyang'au anaomba poo kiutu uzima

Huwa simuelewi sana huyu jamaa sijui ni ujinga ndio alizaliwa nacho ama ni ugonjwa wa brain damage
 
Back
Top Bottom