Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542

Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa

"Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya familia" - Jackson Majaliwa ameimbia Clouds FM

Kuhusu zawadi alizopewa kijana wao huyo kwa kuvunja mlango kuokoa waliotumbukia na ndege ziwa Victoria, amesema

"Anachokipata tungeshirikiana mimi na familia kama ni kuiweka pesa yake aikute wakati anaendela kukua , tutaangalia kipi tumuhifadhie kwa sababu bado ana wadogo zake na sisi wazazi wake maisha yetu ni ya kawaida sana

"kikubwa tungemuwekea yeye kidogo tungeona namna ya kuwasaidia wadogo zake maana kinachoingia katika familia ni kwa ajili ya familia" - Baba mzazi wa Majaliwa akiongea na Clouds FM
 
Mzee njaa sana huyu.
Ila ukanda ule wazee wengi wana tabia kama ya huyu mzee mchovu mchovu.
Ile ni pesa ya Majaliwa siyo ya familia.
Akitaka kuisaidia familia atafanya kwa hiyari yake. Hakuna kutunziwa kitu ameshakua tayari.
 
Sisi wanaume wanawake huwa wanatuwinda kama awindwavyo mnyamapori haswa tukiwa kwenye ndoa na mafanikio.
Matokeo yake michepuko hutuharibia familia tulizozianzisha.

Kwa kuwa malipo ni hapahapa duniani baada ya miaka kadhaa kuna totolako moja hata kulitunza ulikataa na shule hukulipeleka bize na mchepuko.

Hilo toto ulilokuwa unalidharau kwa kulitukana ukimchanganya na mama yake ndo linakuja ibuliwa na Mungu kama ilivyotokea kwa Majaaliwa au mondi na hapo sasa sisi wanaume tusiojielewa tunapoibuka na kurenew upendo wetu kwa mke na watoto...

Karma is bichiiiiii, huyo mzee afe tuu kimya kimyaa..
 
Sisi wanaume wanawake huwa wanatuwinda kama awindwavyo mnyamapori haswa tukiwa kwenye ndoa na mafanikio.
Matokeo yake michepuko hutuharibia familia tulizozianzisha.
Kwa kuwa malipo ni hapahapa duniani baada ya miaka kadhaa kuna totolako moja hata kulitunza ulikataa na shule hukulipeleka bize na mchepuko.
Hilo toto ulilokuwa unalidharau kwa kulitukana ukimchanganya na mama yake ndo linakuja ibuliwa na Mungu kama ilivyotokea kwa majaaliwa au mondi na hapo sasa sisi wanaume tusiojielewa tunapoibuka na kurenew upendo wetu kwa mke na watoto.......Karma is bichiiiiii,huyo mzee afe tuu kimya kimyaa..
Akufeeee
 
Majaliwa fungua macho uone mbele kuna viwanja vya milioni 1 Dar es Salaam.
Ramani-ya-vyumba-viwili-2-1030x776.jpg
 
Back
Top Bottom