Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

All in all mzee mpili kuna video vijana wamemrekodi wakiwa na nia ya kumchafua na wamemuweza mzee anatukana yulee dah eti anamwambia
Ndo mana ukilewa wenzako wanakutooooo...toa out
 
All in all mzee mpili kuna video vijana wamemrekodi wakiwa na nia ya kumchafua na wamemuweza mzee anatukana yulee dah eti anamwambia
Ndo mana ukilewa wenzako wanakutooooo...toa out
Huyu ndiye huyo mtambo wa matusi? Wamnunulie meno
FB_IMG_1626078844194.jpg
 
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa mezani akitafakari kitu gani kna ugumu.

Vipaumbele vya mzungu na mswahili ni tofauti sana. vipaumbele vya maskini wa akili na tajiri wa akili ni tofauti sana. SISI YANGA TULIPANGA MSIMU HUU TUKIKUTANA NA SIMBA LAZIMA AKAE. PIGA UA KWA KILA NJIA. NA TUNASHUKURU MZEE MPILI AMETUSAIDIA. Simba walipanga msimu huu wachukue tena Kombe kwa mara ya nne mfululizo . wakafungwa na T. Prisons,wakafungwa na JKT Ruvu na wakafungwa na Yanga. ILA KOMBE WAKALICHUKUA KUTIMIZA MALENGO YAO.

Wakati Simba wakipita Mtaani Kuonesha kombe lao la VPL sisi tutapita Mtaani kumwonesha Mzee Mpili kwa kutusaidia sana kuwafunga Simba.

Halafu mtu mmoja anakuja anasema Simba na Yanga zinafanana. zinafanana wapi?Simba ilihama ilipokuwepo Yanga miaka 5 iliyopita. ndo maana kwa sasa Simba kuifunga Yanga si Kipaumbele ni sehemu ya Mchezo. Ndo maana hamjasikia wanasimba wakigombana au kugombeza uongozi kwa kufungwa na Yanga. sababu wanajua Yanga ni team kama Team nyingine za Tanzania.
We jamaa ingawa ni Yanga lakini una akili zako wallah.
Naamini ipo siku utahama huo mtimu
 
Back
Top Bottom