Wakati siku 90 za kujivua zikiyoyoma , ccm wanapanga kuwapa miaka 4 ili wajiondoe ndani ya nyazifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati siku 90 za kujivua zikiyoyoma , ccm wanapanga kuwapa miaka 4 ili wajiondoe ndani ya nyazifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Jul 3, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkakati uliopo ndani ya CCM KWA SASA NI KUONGEZA MIAKA MI NNE MBELE KWA AJILI YA WATUHUMIWA KUJIONDOA KWENYE NYAZIFA ZAO NDANI YA CHAMA NA HII MIAKA MI NNEITAKAMILIKA WAKATI WA UCHAGUZI UJAO WA MWAKA 2015, HII NI BAADA YA KUONEKANA SIKU 90 HAZITAWEZEKANA NA WAKIJARIBU KUWATIMUA KWA NGUVU ITAKULA KWA MKUU MWENYEWE. HII IMECHUKULIWA ILI KUMLINDA MKUU.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Source pls au ni maoni yako binafsi?
   
Loading...