Wakati Serikali bado inajiuliza: Reginald Mengi Kuwafariji Wazanzibar Mchana huu


GHOST RYDER

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
1,025
Likes
18
Points
135
GHOST RYDER

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
1,025 18 135
Huku Kitengo na Kamati za Maafa za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa bado wanajivuta na kuonyesha ambavyo bado hakuna mipango ya haraka kuwasadia waathiriwa wa majanga kama haya, Mzee Reginald Mengi anatarajiwa Mchana wa leo kuwasili hapa visiwani Zanzibar kuja kuwafariji wahanga wa Tukio hili.

Habari za ujio wa Mzee Mengi zimepokewa kwa faraja kubwa na waathiriwa wa Tukio hili ambao wengi wao wanaonekana kupotezaa matumaini na kuwa katika kiza kizito kutokana na kupoteza viungo muhimu katika Familia zao.

GR na wadau wengine tunasogea unguja kwa sasa kujua hasa ujio wa Mzee Mengi Visiwani hapa na yatakayojiri baada ya VODACOM kuonja shubiri kali kama JF tulivyotabiri hapa awali.

My TAKE: Serikali bado ina maamuzi ya kusita sana katika maamuzi mazito kama haya:


ADIOS
 
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
3,849
Likes
29
Points
145
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
3,849 29 145
Serikali legelege!! :painkiller: na siasa uchwara!!
 

Forum statistics

Threads 1,235,802
Members 474,742
Posts 29,236,346