Wakati saruji Kenya ikiuzwa Tsh 12,000/=, Tanzania inauzwa Tsh 24,000/=

Hoja yako inasaidiaJe wananchi kununua bidhaa kwa bei nafuu , ili pesa nyingine wajiletee maendeleo ?. Duka la jirani upande wa pili cement Tshs 12,000/= na maduka yetu Twiga ni Tsh 22,000/= mpaka 24,000/. Ukionekana Bamburi ya Kenya unakamatwa !!. Je sera ni lazima tununue vya bei ya juu ?!. Tunamkomoa nani ?

Odhis *
Jiongeze bhana! Utasemaje duka la jirani wakati unazungumzia nchi nyingine? Hata hili ni somo gumu? Ukamatwe, Yes! Nani alikwambia unaweza kuvuka mpaka wa nchi bila sababu? KIla nchi ina biashara zake. Kama una-import, do it legally! Tusipende kulia lia bila kutatua wenyewe!
 
Hawataki yaingizwe nchini. Au huelewi ?!

Odhis *
 
Acha nikupe benefit of doubt maana sometimes sio vizuri ku judge tu mtu bila kuwa na sababu.

Naomba unijibu haya maswali..

1. Kwanini unasema cement ya kenya sio bora kama ya Tz?

2. Je ubora wa cement unapimwa kwa kipimo gani?

Tuweke hasira pembeni, naomba majibu ya hayo maswali.
12000 ktsh
12000Tsh
Chukua shilingi ya kenya upate change ya tsh. Ndo ujue cement yetu iko chini kuliko ya kenya.

Hao bodaboda ulioona wanakwepa kodi ya aliyenunua mzigo huo ambao uliona km cement kumbe nimzigo mwingine.
 
Mbaya zaidi utakuta ni mtu wa sosholoji hata kipimo cha tofali hukijui lakini leo ndio unasema cement ya kenya sio bora.

Sijui waafrika tuna kwama wapi!!
Hii ndiyo hatari kubwa inayolikabili taifa hili.

Hawa watu ndio waliopo madarakani na inawezekana kabisa wanavuruga kwa maksudi akili za waTanzania, hasa hao wenye kisomo cha ajabu ajabu hata wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu!
Na wanafanikiwa kwa kiasi kikubwa sasa, maana wamedhibiti njia zote za kuwaelimisha hao wanaowadanganya.
 
Acha nikupe benefit of doubt maana sometimes sio vizuri ku judge tu mtu bila kuwa na sababu.

Naomba unijibu haya maswali..

1. Kwanini unasema cement ya kenya sio bora kama ya Tz?

2. Je ubora wa cement unapimwa kwa kipimo gani?

Tuweke hasira pembeni, naomba majibu ya hayo maswali.
Cement is the oldest binding material.
Ubora wa cement hupimwa kwa grades zake ambazo huonyesha nguvu yake ya ku bind ie the binding strength of a standard block after 28 days. Inapimwa kwa Mega pascal au kwa Newton per square millimetre.

Kwa mfano ya Nyati ina nguvu za 52.5 Newton/ sq. mm wakati cement ya Twiga Extra ina 47.5 Newtons per square mm. Twiga plus 47.3 N, Twiga ordinary 48.0 N, Dangote cement 24.5N to 38.9N, Simba cement 32.5N to 42.5N, Tembo cement 32.5N.

Hizo cement za Kenya nyingi nguvu zake ni chini ya 20 N. Hazifai kujengea kuta za nyumba au madaraja au nguzo za maghorofa. Ni za kupigia lipu tu, hivyo na bei zake ni ndogo. Zinapitwa hadi na zile tulizokuwa tunaletewa kutoka China kwa bei ya Tsh 5,000 kwa mfuko wa 50kg!

Muhimu: Usinunue cement bila kukagua ubora au grade yake (in N or Mpa) kama inafaa kwa matumizi unayokusudia. Kumbuka cheap is often expensive at least in the long term!
 
Porojo .

Wa Kenya hawajengi madaraja ??!!

Odhis *
 
Porojo .

Wa Kenya hawajengi madaraja ??!!

Odhis *
We vipi, sayansi unaiita ni porojo? Sijasema cement zote zinazozalishwa na viwanda vya Kenya ni za grade za chini. Nimesema nyingi zake ni za grade za chini na hizi ndizo zinaingizwa Tanzania. Zile za grade za juu ni chache na ziko reserved kwa ujenzi wa miundo mbinu zao kama madaraja na majengo mengine yanayohitaji high grade cement. Hata hao wachina wanaoleta kwetu low grade cheap cement siyo kwamba kwao hawana high grade cement, wanayo nyingi tu tena very high grade. Huku tunaletewa cheap low grade ili kuuwa viwanda vyetu kwa sababu ya uzuzu wetu wa kupenda vitu rahisi bila kujua au kujali ubora wake. Tunabaki tu kulalamika eti mbona cement ya kutoka China au Kenya bei yake ni rahisi kuliko ya kwetu! Ni uzuzu tu wa baadhi ya watu wetu hasa wale wanaotoka chama fulani cha siasa. Shirika letu la viwango (TBS) haliruhusu viwanda vyetu kuzalisha low grade cement, hivyo cement yote ya Tanzania ni high grade.
 
@Dr Akili kwa taarifa yako watu wa mipakani tumetumia sana Bamburi cement. Ni nzuri na bora tu kama twiga, sema yenyewe iko kwenye mifuko ya karatasi wakati twiga iko kwenye sandarusi

Taja hiyo Bamburi cement ina Newton ngapi per square millimetre au Mega pascal ngapi? Kusema tu kwamba ni nzuri na bora ni layman language, haina maana ye yote scientifically. Zote ni nzuri na bora kutegemea na matumizi unayotaka kuifanyia. Ni kama kwa mfano magari. Si busara ukanunua a Land Cruiser VXR lenye V8 lenye gharama ya Tsh 500 million kwa matumizi ya kutoka kwako mikocheni kwenda kazini kwako samora avenue pekee wakati ungeweza kutumia Land Cruizer Prado la Tsh 100million kwa shughuli hiyo au hata ka IST ka Tsh 10 million tu. Na cement iko hivyo hivyo. Hauhitaji cement ya grade kubwa eg yenye tensile strengh ya 90 Newtons yenye bei ya Tsh 20,000 kwa mfuko kujengea kibanda chako cha kuku au ka bungallow kako ka vyumba vitatu wakati cement ya 18 Newton ya bei ya Tsh 8,000 kwa mfuko ingalitosha kwa ujenzi huo.
 
Back
Top Bottom