Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia​

====​

Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa Vitendo Mhe Samia Suluhu Hassan kuna watu bado wanasitasita kuelewa,

Watanzania wengi wanadhani Uzalendo ni kufokafoka wakati wote no!! Sasa tukio hili liwafunze maana halisi ya Uzalendo,

Kwa Wale wenye kumbukumbu tarehe 25|09|2021 pale JKNIA sote tulishuhudia Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege ya abiria,

Maana ya Uzalendo ni hii,pamoja na Tanzania kuwa na zaidi ya ndege 11 mpya zinazoweza kuruka moja kwa moja toka Dar -New York bila kutua popote,

Lakini Rais Samia Suluhu Hassan alitumia usafiri wa abiria na alifanya vile ili kupunguza gharama za Safari yake huko UN,

Rais Samia kwakuwa si mtu wa kutaka sifa alitaka chenji ya safari iende kuhudumia watoto wa masikini na hii ndio maana halisi ya Uzalendo wa vitendo.

Mambo ni tofauti sana kwa Rais wa Angola H. E. Joao Lourenço katika kuhudhuria mkutano mkuu wa 76 wa UN Gen Assembly -UNGA jijini New York Marekani,

Rais huyu yeye alijiidhinishia kiasi cha 2.5bl Angolan Kwanza ambayo ni sawa na $4.12M au sawa na shilingi milioni elfu tisa na miatano yaani TZS 9.5BL za Kitanzania,

Msiofahamu umbali kutoka Angola hadi New York ni kilometa 10,967 wakati umbali kutoka Tanzania hadi New York ni kilometa 12,050,

Rais Joao amekuwa akisafiri kwa ndege binafsi wakati wote tofauti kabisa na Rais wetu bila kujali nchi yake kusongwa na madeni kila kona ya dunia na hasa toka China,

Watanzania lazima tuelewe hili " Uzalendo ni imani " lakini unasukumwa zaidi na hofu ya Mungu iliyoko ndani ya kiongozi husika,kama ilivyo kwa Rais Samia

Hebu fikiria Rais mmoja toka Africa anatumia TZS 9.5BL kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mmoja tu,Vipi akifanya hivyo mara tano kwa mwaka,

Msiofahamu thamani halisi ya TZS 9.5BL ni kwamba pesa hii inaweza kujenga hospitai kubwa tano za rufaa mnazozijua.

Na hii ndio tofauti kati ya Rais wetu mpendwa Mhe Samia Suluhu Hassan na hao wengine wanaohubiri Uzalendo kwa maneno,

Wakati Rais Samia akikwepa kutumia TZS 270M za Watanzania kwaajili ya mafuta tu ya ndege,

Joao yeye alitumia TZS 9.5BL za wanaangola kwa mkutano huohuo mmoja huko Marekani ambapo Rais wetu yeye alipanda usafiri wa abiria kukwepa gharama,




_________________________________________
_________________________________________


Alarm over Angola President’s Sh9.5 billion UN travel budget



Angola's President Joao Lourenco (C) reviews the guard of honour as he arrives at the Angola Nation Assembly on October 16, 2017.

Summary

On September 8, President Lourenço approved, in a presidential decree, the sum of US$4,119,036.75 (TSh9.5 billion) for operating expenses in preparations for the 76th session of the General Assembly of the United Nations, which closed Friday.
====

Civil society members and political party representatives in Angola are criticising President João Loureço’s budget for UN travel.

On September 8, President Lourenço approved, in a presidential decree, the sum of US$4,119,036.75 (2,500,000,000 Angolan Kwanza or TSh9.5 billion) for operating expenses in preparations for the 76th session of the General Assembly of the United Nations, which closed Friday.

President João Lourenço took over in September 2017, at the end of José Eduardo dos Santos's 38-year reign, and pledged to fight corruption.

Mihaela Webba, an MP in the main opposition party, Unita, asked what Angola would do with such a budget, describing the $4 million of additional credit for almost one week in the US as “not fair”.

“It is too much abuse of our money,” she said.

Tchizé dos Santos, a former MP of the ruling MPLA party, asked: “Were the State coffers not as empty as the President said he found them when he took over?”

Santos added: “$4 million on a trip and the President travels almost every month [sic]. Whenever he goes by plane he leaves in private jets.”

Mr João Pinto, a ruling MPLA MP, however, said whoever damages his image should be held responsible.

“It is outrageous to damage a poster or the image of the President and leader of the MPLA, that in December organises its ordinary congress. Being a democrat requires respect for others, even if you don't agree with them, so those involved in acts of outrage, injury or damage must be held responsible," he wrote on his Facebook page.

The controversies are arising as Angola plans to hold a general election in 2022, with President Lourenço and his ruling MPLA party seeking retain power.

VIVA TANZANIA || VIVA SAMIA

View attachment 1969119
View attachment 1969120
Mama wa ku-cut cost
 
Back
Top Bottom