Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,224
6,467
Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo.

Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume?
Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye umfumo dume?

Ngoja tusubiri Ma DED, DC, Makatibu Tawala, Mabalozi nk. Vingnevyo wanawake wapoteze tumaini.
 
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa hivi punde. Mbona kaahidi Bungeni live atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake mbalimbali nchini.

Sasa Mbona imekuwa kinyume kabisa na ahadi yake?
Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa? Je wnye mfumo Dume wamemshauri aachanenao?

Ngoja tusubiri Ma DED, DC, Makatibu Tawala, Mabalozi nk.

Hizo nafasi zikitangazwa na uchache huu kuendelea kudhihirika, basi mambo ni yaleyale ya miaka nenda rudi na ile hotuba iliyotoa matumaini kwa wanawake, isahaulike kabisa.
 
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa hivi punde. Mbona kaahidi Bungeni live atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake mbalimbali nchini.

Sasa Mbona imekuwa kinyume kabisa na ahadi yake?
Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa?

Ngoja tusubiri Ma DED, DC, Makatibu Tawala, Mabalozi nk.
hamna kitu hapo... huyu mma bado kabisa
 
Kwani cheo ni hisani au haki sawa! Cheo ni dhamana na lazima mteuliwa awe na uwezo wa kuongoza. Kama hajaona wa kuwa mkuu wa mkoa, atawateua kwenye nafasi nyingine. Acheni mihemko!!
Unaamini nchi hii yote wakosekane hata wanawake 12 kuongoza mikoa?
 
Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo.

Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume?
Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye umfumo dume?

Ngoja tusubiri Ma DED, DC, Makatibu Tawala, Mabalozi nk. Vingnevyo wanawake wapoteze tumaini.
Teuzi zimeisha ?!!!!
 
Back
Top Bottom