Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

Kwa kweli ni Jambo la kusikitisha Ina maana nchi hii Haina wanawake wenye uwezo? Tuna vyuo vikuu vingi Sana vyenye kina mama wenye uwezo.Tatizo kubwa Ni mfumo wetu wa vetting.Ifike mahali rais aweke ngumu akiletewa kwenye meza yake uteuzi usiozingatia gender Ballance asipitishe
 
Mama kaikana kauli yake ya Bungeni waziwazi
 
hamna kitu hapo... huyu mma bado kabisa
Mimi Niko hapa napitia documentary "millennium generation", huko china,in fact Tz tunastahili viboko,we are drugging downward,kila jitu nilibinafsi,ukienda Benki majitu yanajivuta,hebu tubadilike,tufanye kazi,huyo mama tumuache sisi kazi yetu iwe kuongeza output kwa kila eneeo letu
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Anakumbushwa ahadi
 
Nimeanza kuamini. Mtu anaahidi, aliwekewa Kati na wenye chama anasahau ahadi
Daaa! Mungu amsaidie mama yetu kwa kweli.
  • Akibakiza aliowakuta kutoka kwa JPM ni kosaaa!
  • Akiteua wapya nalo ni kosaaa!
Tumsubiri mama 2025 ndipo atakuwa na timu yake. Hapo ndipo aukizwe masuala ya jinsia nk

Kwasasa muacheni mama yetu kipenzi Mhe. Samia Suluhu Hassan achape kazi kwanza mambo ni mengi na muda ni mchache.

Kazi Inaendelea kwa kishindo.....
 
Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo.

Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume?
Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye umfumo dume?

Ngoja tusubiri Ma DED, DC, Makatibu Tawala, Mabalozi nk. Vingnevyo wanawake wapoteze tumaini.
Mkuu Freed Freed , asante kwa hii.
P
 
Huyu mama yupo makini sana sana mwacheni amejipanga vyema sana huyu mama.
Sijui nitampataje huyu mama nimpe zawadi ya mtetea mnono akanywe supu yake.
 
Kama yeye anaona jinsia yake hawafai au hawana uwezo nawashangaa nyinyi mnaeona yeye anatosha kutuongoza
 
Pascal Mayalla pamoja Sana Nguli wa JF. Mama aishi ahadi yake mbele chombo nyeti. Ahadi ni deni.
Naunga mkono hoja. Japo nilisisitiza, kwa vile hatukumpangia JPM, tusimpangie mama, ila hakuna ubaya kumkumbusha from time to time. Mimi naamini ule uteuzi wa ma RC, ile ni lineup ya JPM with few changes from Mama. Haiwezekani kati ya ma RC 26, wanawake ni 6 tuu!. Angevuta vuta angalau 10.
P
 
Back
Top Bottom