Wakati Nyerere na Familia yake (Mke na Watoto wakishiriki vita ya Kagera miaka hiyo) Marais waliofuata wanashirikiana na familia zao kutufisadi

viongozi wa aina hiyo hawapo tena duniani
Watanzania wa namna hiyo tupo wengi tuu kati ya milioni 60,tatizo hatupewi nafasi.
Mtu anaitwa "first lady mstaafu" halafu eti anaenda tena kugombania ubunge!!
Watoto wa waliokuwa viongozi ndio nao wanaopewa uongozi as if uongozi unarithika.
Tanzania ya leo bila ya kuwa na nasaba na kiongozi,bila ya kujikomba kwa viongozi,bila ya kuwa msukule wa viongozi,ni ngumu sana kwa Mtanzania makini kuwa kiongozi.
 
Watanzania wa namna hiyo tupo wengi tuu kati ya milioni 60,tatizo hatupewi nafasi.
Mtu anaitwa "first lady mstaafu" halafu eti anaenda tena kugombania ubunge!!
Watoto wa waliokuwa viongozi ndio nao wanaopewa uongozi as if uongozi unarithika.
Tanzania ya leo bila ya kuwa na nasaba na kiongozi,bila ya kujikomba kwa viongozi,bila ya kuwa msukule wa viongozi,ni ngumu sana kwa Mtanzania makini kuwa kiongozi.
Wote hao waliopita walikuwa na maneno matamu sana lakini cha moto tumekiona
 
yule aliyesema bora mkoloni arudi ana IQ kubwa sana, watu weusi wakipata madaraka wanageuka miungu
 
Ile vita alianzisha mwenyewe
Fuatilia kwa undani hapakuwa na haja
Nyie ndo damu ya walee babu waliokimbiaga vita ya kukomboa watumwa!! tena walishirikiana na mzungu kuuza ndugu zao!!! Ok sasa akili yako hiyo ya naniliu ........sorry nilitaka kusema madrasa...... lkn natengua kauli.....vita inaanzishwaga na nani?? na wapita njia au

Mademu?............ ni wakuu wa nchi ' wewe kasome upya! OAU, walikubaliana kuwa kibaraka yeyote miongoni mwao lazima wamthibiti! kwa umoja wao! mpaka leo ndo maazimiao yetu pale mjengoni

hujui kitu aliye msaidia Amin kuingia Madarakani wamjua weye??? na kwa nini huyo amin alifanya ivo kuipindua serikali halali ya mwana EA??? nguvu alizitoa wapi? je sisi Bongo wana Ea ulitaka tuchekelee tu! bila hata chembe ya aibu! unajua malengo ya wana EA ilikuwa ni yepi au hukusoma wewe??

unadhani kwa nini Nairobi waliipotezea Ndege ya msaada kwa idd amini wanajeshi wa Libya na ikatua Mwanza? ikatekwa wkt ugomvi ulikuwa wetu na uganda? kwa nini Nyerere hakulaumiwa mpaka kesho na baraza la usalama la OAU, Wkt ni chombo chetu cha kutatua migogoro?

Kwa nini waganda hao hao walipigana kutokea Bongo!! kwa umoja ule ule!! kwani unadhani wao walikuwa dhaifu sana kuwapinga wabongo? kwa nini wbongo walishangiliwa kuiteka kampala km hayo yalikuwa ya Nyerere? unadhani waganda hawana akili!

hujui siri ya Umoja wa wana EA wewe bado mdogo au hukusoma kabisaaaaa! je wajua kuwa hao hao walio mweka Idd amini bado wanaifuatilia na kuitamani Uganda mpka leo?

je ni nini mafungamano yao na Uganda? na siyo Tanzania wala kenya? na wamo mpka kesho!!! unawajua au umeamua kuropoka tu! siku nyingine wanajeshi wakijadili jambo usipite una jamabajamaba hovyo unasikia dogo
 
T
Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine?

Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali zetu Watanzania. Kuanzisha Makampuni na kutuingiza mikataba ya Kichifu Mangungo wa Msovero.

Wananchi wa Tanzania wanabaki maskini. Pamoja na mapungufu yake kama binadamu. Nyerere alikuwa ni the best president mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo.far more alikuwa very inteligent.

Kuja kumpata Rais aina yake tena Tanzania labda ni baada ya miaka 100.

Picha chini Mama Maria Nyerere akiongoza wanajeshi wengine. Hii ilikuwa mwaka 1979 katika ile Vita ha kumng'oa Nduli Idd Amin Dada wa Uganda Dikteta maarufu wa Afrika Mashariki.
TUMPE MUDA.

View attachment 1842324
Tulijilazimisha tu kuingia vita ya Kagera wala ilikuwa haituhusu ni kiherehere hetu tu katika kumsaidia Dr. Milton Obote.
 
T

Tulijilazimisha tu kuingia vita ya Kagera wala ilikuwa haituhusu ni kiherehere hetu tu katika kumsaidia Dr. Milton Obote.
Tuliamaini na bado tunaamini Africa ni moja! ivo tulikuwa tunatimiza ahadi yetu!! ..... sababu ndg yetu alifanya kitendo cha uadui! ikatubidi tumuonyeshe jinsi ya kumfunga kamba ili atulie tule! tulikuwa hatuna jinsi!!

hata Obote siyo kaburu yule! ni ndg yetu hswaa wa damu alichaguliwa kihalali!! hawezi kupigwa tume nyamaza km wajinga!! hasa sisi wa mkoa wa Mara! ! wewe mdenge unaweza lkn sisi wa Musoma hauwezi! ndo maana tuliwakomboa!! kutoka kwenye makucha ya mkoloni!

tena nyie mlisombwa sana, kupelekwa uarabuni lkn kure Musoma Muarabu hakuwa na jeuri ya kutia mguu kure!! alipigwa na wake zetu tu!
 
Back
Top Bottom