Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

Ninachojua,hawa jamaa ukiwabana kwenye mikataba,wala hawana shida,watalipa tu kodi.Tatizo hata wao huwa wanasema,kuwa nchi hii haitafanikiwa kwa sababu wengi wa wanasiasa viongozi ni corrupt.Wakati mwingine wao ndio hushawishiwa watoe rushwa na wapokeaji ambao ndio watoa maamuzi ya kisera,wanawapa kila kitu.Kwa hiyo ninaona Rais,ana nafasi nzuri iwapo atakaa nao kujadili udhaifu wa mikataba na kama kuna udanganyifu katika vipimo.Najua hawa jamaa huwa wako wazi sana na hata ukiona figisu figisu nyingi,ni kwa sababu watanzania waliopewa dhamana ya kusimamia wengi wako corrupt.Na hata ukiwafuatilia vizuri utagundua mengi.
Tuache jazba na kuhamasishana kishamba kama sungu sungu.Tuna nafasi nzuri ya kurekebisha mikataba na kuwashughulikia watanzania wenzetu wanufaika wa mikataba isivyo halali.
 
uzalendo ni nini? kutokutii na kuheshimu mikatba ulioisaini kwa hiyari yako? nani aliwakaribisha wawekezaji wa migodini? akina nani walipitisha miswaada hiyo ya madini bungeni harakahraka? nani walifaidika na hiyo mikataba? je rais kajua leo kama tunaibiwa au alikua anajua? approach aliotumia inatatua tatizo au ndio inazidisha ukubwa wa tatizo? kama una akili timamu utakua umenielewa....
nawatakia kila heri wanasheria wa acacia na ushindi mwema katika kesi yao
Tukiacha matakataka yote ya uzalendo etc......hapa Tanzania na bara lote la africa, haijawahi kutokea na haitokuja kutokea mapatano ya aina yoyote kati ya mzungu na mzawa juu ya mali zilizopo ndani ya nchi husika et yakawa positive kwa mzawa.....HAIJAWA NA HAITOTOKEA,,,, Ni kweli tulisaini mikataba sis wenyew lkn unadhani kwa nini kwa kipindi kile kwa nini hatukupiga kelele?? ELIMU BROTHER,,,,,elimu na ufaham vimetukomboa hvo ukisema tuache et kwa sababu ulikua ni ujinga wetu basi utakuwa unamaanisha kuwa hakukuwa na ulazima wa baba ako kukupigania mpaka leo hii umejua kusoma na kuandika!!!!

mama mjamzito kikawaida inatakiwa ajifungue through vagina.....lakin ikishindikana hapo mtoto anachomolewa tumboni,,,,hiyo ni njia yeny risk kubwa sana huku kila anaemfanyia OP mama huyu, anakua na malengo positive.

The same applied to magufuri,, hakuna negotiation inayoleta matokeo positive kati ya mzawa na mzungu....mara zote ni either 40/60,,,30/50,,,au 0/100. sasa nani anayetaka huo ujinga wa mali yangu afu wew ndo ule sehem kubwa.......GO JPM,,,,,,,,watatunyima misaada lkn wataappriciate kwamba we are now grown up.....hatuibiwi kizembe tena.
 
UNAFIKIRI WIZI WA BARRICK UNA MKONO WA MISSAD.?
Kwamba fedha zinazoibiwa nizinaenda kusaidia Mossad?
 
Mtu akikusainisha mikataba mibovu usionufaika nayo huyo ni TAPELI na huo ni UTAPELI,,,,,,na hakuna nchi duniani iliohalalisha kazi ya utapeli,,,,,,,ndo mana ukibaini kwamba umetapeliwa unahaki ya kudai au kutafuta haki yako.

All in all sisi watanzania ni waajabu sana kiasi kwamba kama kuna watu toka nchi mbalimbali wanapitia humu jf bs watakua wanashangaa sana aina hii ya bongo tulizonazo....

Yani ndani ya nyumba baba mzazi amesaini mkataba shingo yake itumike kunolea upanga bila kua na ufahamu wa makali ya upanga....lengo apate fedha alishe wanae...lakin kujakushtuka panga kumbe linatafuna shingo taratibu ambapo mwishowe ni kifo...huku pesa alizotarajia asipewe na watoto njaa imewazidia.

Sasa cha ajabu watoto zake ambao alifanya kwa ajili yao et leo wamegawanyika.....wengine wanadai mkataba huo unamuua babao uvunjwe au kusitishwa huku wengne wanajiamini kabisa kutaka panga iendelee kunolewa kwnye shingo ya baba yao wakidai alisaini ye mwenyewe kwa ujinga wake......daaaahh

WATANZANIA TUMEROGWAAAAA SIO BURE. HIZI SIO AKILI ZA KAWAIDA
 
huyo munk ni mossad na pia ana ushawishi mkubwa katika tawala za marekani, canada na australia...... sasa wameliamsha dude lililo lala na wengi wasio jua ni kwamba hawa wayahudi ndio walio saini kifo cha arafati na hata gaddafi........ tuombe uhai tutashuhudia mengi na ipo siku tutajuta kwanini hawa jamaa tuliwapa nchi yetu watutawale kwa kutumia ujeuri na fikra zao za visasi...
wayahudi hushinda vita zao zote kwa kutumia akili kubwa na sio mihemko na kiki za majukwaani
42a1470926901e231001146ce896cfdc.jpg
 
Yani ndani ya nyumba baba mzazi amesaini mkataba shingo yake itumike kunolea upanga bila kua na ufahamu wa makali ya upanga....lengo apate fedha alishe wanae...
lakin kujakushtuka panga kumbe linatafuna shingo taratibu ambapo mwishowe ni kifo...huku pesa alizotarajia asipewe na watoto njaa imewazidia.
9ebfce6717447eaca98b07cd008ec335.jpg
 
Yani tumeingia anga za ukoo wa Yesu wateule wa Mungu ambao wafanye wasifanye dhambi Yani bado Mungu anawapenda tu nakuwaongezea.

Magufuli tutakulaumu milele kwa hii laana.

TUMEKWISHA
HIYO LAANA NA UIPATE WEWE NA KIZAZI CHAKO MILELE YOTE!
WATEULE WA MUNGU GANI, UWONGO MTUPU!
MAMA TANZANIA AMEAMKA NA ANAWAALAANI WOTE WANAOMWIBIA RASILIMALI ZAKE NA WANAO TETEA HAO MAJAMBAZI!
SHOKA LIPO SHINANI! WAMEKWISHA MILELE YOTE!
TANZANIA YETU IMEBARIKIWA MILELE NA ITAENDELEA KUBARIKWA MAANA NDIYO CHAGUO LA MWENYE ENZI MUNGU MILELE!
COPENHAGEN DN UMEOZA Kweli!
 
Jambo baya zaidi ni kuwa sisi tunachukua maamuzi kwa data za kupikwa na akina Mruma. Ni vigumu kuwaita hata maprofesa kwa ripoti ya kiwango cha chini kama ile.

Unatoa data ambazo kila mwenye ufahamu anakuona wewe ni mjinga. Dunia nzima hakuna mgodi hata mmoja ambao pekee yake unazalisha dhahabu inayofikia ounces zaidi ya laki 5 kwa mwaka. Lakini ripoti ya akina Mruma inaashiria mgod wa Bulyanhulu na Buzwagi inazalisha ounces 1.6 million!

Kama hujui hata kiasi unachoibiwa, utapambana kwaajili ya kuokoa nini? Nadhani kuna haja ya wasomi wanaopewa majukumu ya kitaaluma, nao wakasema wana uwezo halafu ikathibitika hawana uwezo, wawe wanaadhibiwa vikali.
Kuwa mzalendo mwana acha ushemeji na BARRICK wewe ni mtanzania siyo myahudi hata kama walikosea mikataba lazima tusimame kuitetea nchi yetu,kama jamaa anawanyang'anya wapalestina ardhi wewe huoni kama ukoloni unarudi kiaina imagine tunalipwa mrahaba wa 4% wao wanachukua 96% fikiri hapo nchi ya nani, pambana wewe toa mafedhuli bongo usijiangalie mwenyewe angalia na kizazi kijacho..na shangaa kuona mijitu inatoka mipovu kwa kuitetea barrick na munk wake wakati rasilimali za nchi yetu inaangamia Tuamke watanzani
 
Nisomapo BIBLIA nakutana habari inayofanana na hii ya mleta mada...... JOSHUA MWANA WA NUNI na KALEBU MWANA WA YEFUNE ndio walioleta habari njema kwa Waisrael.
Wapelelezi waliotumwa kuipeleleza nchi ya KANAANI walileta habari za KUKATISHA TAMAA kuwa kule kuna MIJITU MIKUBWA, SISI KWAO NI KAMA PANZI TU......

WAPENDWA , TUSIKATISHWE TAMAA .....
 
Bro swali gumu sana. I never felt kwamba watz wanaamini kuibiwa na wazungu ni kitu bora sana
Mtoa mada kaeleza vizuri na hata hitimisho lake kalitoa vizuri.
Kwanza amegusia aina ya watu wanaohusika akiwemo huyo Myahudi ambaye pasi na shaka ni Mossad huyo. Akagusia njia ambayo imetumika. Makala iko katika muundo wa angalizo.
Lakini ni kwa kutumia tafakari bila kuweka hisia za kishabiki utaelewa mtoa mada angalizo lake lilitaka nini
 
Back
Top Bottom