Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

Provide specification.
Those who signed contracts and signed bogus treaties in previous today they are crying.
When Mining Act passed JPM was there, he didn't react,JK was there said nothing.
Today they say our resources are stolen.
That nonsense
NONSENSE INDEED!!!!!!!
 
Unaonekana wewe ni askari mgambo wa Lumumba. Kosa hapa la Godbless ni nini !!! This is an alert, in war such information is not only important but vital. Tujue vita hivi alivyoanzisha JPM tunapigana na nani. Eti ukitusaliti.... sasa nauliza huyo anayetupeleka kwenye vita hii, tukishindwa tumfanyeje ? Maana hapakuwa na consensus juu ya usmuzi huu wa kukamata mali ya wakubwa hawa. Unajua watu wa Lumumba mna shiiida, mtu hata atoe idea gani kwenu wenye akili, mawazo mazuri lazima uvae shati la kijani. Shiiida.
Katika vita hatutaki kutanguliwa na askari waoga. Kila anayeogopa anatakiwa 'akae kimya milele'.
 
Nyimwe mulikuwa wapi nawelendi wenu when one man stand out we must stand to help not to pretend to be wise when you never dared.

Independence was fought with blood that is we are free. If all people were cowards who spoke of pros and cons, nothing would have happened. Remember they are not gods but humans, everything has an end.
If China had coward people and inferiority reasoning it would not be as powerful as it is.
 
Tobaaa kumbe Jamaa ni Myahudi,
Jewish Community!! Wameisumbua sana ujerumani mpaka ikafika wakaisaliti wakati wa vita ya kwanza ya dunia!!

Germany aliwapa favour wayahudi kama raia wa kawaida,lakini wakamgeuka!! That's why Germany wakawa wanaiwaita "traitors"

Jews wana tabia ya kuchangishana pale maslahi yao yanapohatarishwa, ni wale wale akina RothsChilds

Watu hujiuliza kwa nini Israel ina uchumi mkubwa lakini hawana vyanzo,sasa nadhani tunaona vyanzo vya nguvu ya israel,possibly wako ndani kabisa ya biashara ya madini afrika
 
Hao ni MARAFIKI zetu
Marekani, Ulaya na Nchi zilizo endelea huwa hawana Marafiki wa kudumu wala maadui wa kudumu.

Yaani ukitaka uwaone wabaya gusa maslahi yao, hapo chamoto utakiona.

Dawa pekee ni kuwa makini katika kusaini Mikataba.
 
WanaCCM,walikuwa wapi siku zote?Wakati akina Lisu na Zito wanapiga kelele Bungeni wanaCCM,wazalendo wa leo wanamapinduzi walikuwa wanazomea wamelikoroga wao,ubaya ni kwamba tutalinywa wote.Busara kwa wanaCCM,ni kunyamaza acha wazomewe maana wanastahili kuzomewa sasa.
Muda utaongea
 
Peter Munk (83), Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Barrick Gold Corporation, kampuni inayomiliki zaidi ya asilimia 60 ya Hisa za Acacia.
Alizaliwa November 8, 1927, Ni raia wa Canada, mfanyabiashara na mtoa misaada mashuhuri zaidi duniani . Munk ndie Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni kubwa zaidi ya madini duniani ya Barrick Gold Corporation .
Munk alizaliwa katika mji wa
Budapest, Hungary, katika familia ya kitajiri ya Wayahudi, kijana wa Katherine (Adler) and Louis L. Munk. Baada ya Hungary kuvamiwa na utawala wa Nazi wa Ujerumani chini ya Adolp Hittler mnamo Machi ,1944 Peter Munk alikuwa kijana mdogo wa umri usiozidi Miaka ishirini. Familia yake ilitoroka kupitia treni ya Kastner , Treni ambyo ilibeba wayahudi takribani 1,684 na kuwapeleka nchini Switzerland, mpango ulioratibiwa na Rudolf Kastner, Mhafidhina wa taasisi iliyojulikana kama Zionist Aid and Rescue Committee .
Taasisi hii ilitumika kuwatorosha Wayahudi kutoka Hungary kufuatia majadiliano na Afisa wa ngazi za Juu ya Ulinzi wa Hungary
Adolf Eichmann kwa kubadilishana fedha, dhahabu, almasi kwa kile kilichojulikana kama Mapatano ya damu na vito vya thamani ( "blood for goods" deals )
Munk alihitimu katika Chuo Kikuu cha
Toronto, Canada na kutunukiwa shahada ya electrical engineering mnamo Mwaka1952.
Mwaka 1958, Munk pamoja na wenzake walianzisha kampuni ya
Clairtone kwa usaidizi David GilmourFrank Sobey. Baada ya hapo, amekuwa na mafanikio na changamoto nyingi katika biashara zake.
Amewahi kuwa Mhadhiri katika Chuo kikuu James Gillies Alumni Lecture,
York University, Toronto. Amekuwa mjumbe katika bodi mbalimbali zikiwamo;

Pia Munk ni mjumbe wa heshima wa bodi ya taasisi ya Jewish National Fund (JNF) of Toronto, taasisi ambayo imekuwa na jukumu la kupora ardhi ya palestina na kuendeleza makazi ya Wayahudi kinyume na Azimio la Umoja wa Mataifa.
Taasisi hii ndio imekuwa kitovu cha ushirikino wa familia za Wahahudi wote ulimwenguni , ambapo moja ya jukumu lake kubwa ni kurudisha ardhi ya Israel iliyopotea kwa kuchangisha fedha na kununua ardhi kutoka kwa Palestine, kupanda miti, kujenga makazi na miundombinu mbalimbali.

Kutokana na uwezo, ushawishi na mafanikio yake, Munk amepata PHD za heshima katika Vyuo vikuu mbalimbali;

Kutokana na tuzo hizo, Munk anatajwa kuwa afisa ambaye anaheshimika zaidi nchini Canada
Pia ni mwanzilishi wa
Munk School of Global Affairs, kupitia mchano wa fedha kutoka taasisi yake ya Peter and Melanie Munk Foundation.
Note:
Kufahamu vizuri uwezo wa adui yako, inakupa fursa ya kutafakari njia bora zaidi ya kupambana nae. Ni wazi kabisa matumizi ya nguvu bila weledi hayatatuacha salama. Uzalendo wetu ujikite kuitumia elimu na maarifa yetu katika kupata tunachokitaka. Kutumia hoja za kijinga kwa kivuli cha Uzalendo ni hasara zaidi kwa kizazi cha leo na kesho. Kudhani kila anayeunga mkono kila jambo ndio Mzalendo bila kujali athari zake kwa Taifa ni nonsense. Tuungane katika msingi wa hoja zenye utetezi makini na si katika kelele, pongezi na vijembe. Kutumia jukwaa na kudai wale wanaotofautiana na Approach ya JPM wamehongwa au sio Wazalendo ni kikosa fikra, Kwamba kuhoji uhalali wa data za kamati ni kukosa Uzalendo. Tujipange katika hoja makini.
Bado watu wasiojiamini wanatukuza vibabu vijizi vya kizungu,pole sana.Kutupa CV ya Munk sio ndio kusema basi umekuwa mwerevu au mwenye CV sio mwizi au tapeli,hata watu maarufu wanakwepa kulipa kodi ndio maana kuna offshore accounts,za akina Messi,Dangote na matycoon wengine,mwanadamu si malaika.
 
Jewish Community!! Wameisumbua sana ujerumani mpaka ikafika wakaisaliti wakati wa vita ya kwanza ya dunia!!

Germany aliwapa favour wayahudi kama raia wa kawaida,lakini wakamgeuka!! That's why Germany wakawa wanaiwaita "traitors"

Jews wana tabia ya kuchangishana pale maslahi yao yanapohatarishwa, ni wale wale akina RothsChilds

Watu hujiuliza kwa nini Israel ina uchumi mkubwa lakini hawana vyanzo,sasa nadhani tunaona vyanzo vya nguvu ya israel,possibly wako ndani kabisa ya biashara ya madini afrika
Wakati mwingine huwa naona aibu sana kwa mtu kuongea vitu ambavyo havijui hata kama anavijua ni kwa kusoma au kusimuliwa na bahati mbaya wanaompa taarifa wanamdanganya hv unaujua uchumi wa Israel ww? uchumi wa Israel ni mdogo hata kwa South Africa na Nigeria sasa sijui ww unazungumzia Israel ya Mussa au Israel ya Benjamin Netanyahu?
 
everything happens for a reason labda hapa Mungu ndio anataka kutufundisha ukurupukaji tuache ukiongozwa na Makomeo mwenyewe, pia wataalamu/wasomi waanze kutumia akili na taaluma zao vizuri bila kushikwa masikio wala unafki wa kumfurahisha huyu babu

Ila hii ngoma lazima kila mtu ataicheza
 
Sasa wewe ndugu yangu iwapo tayari umeonesha mwelekeo wako unaochagizwa ama na woga au hamadi kibindoni, utajipangaje pamoja na Watanzania wenye mwelekeo wa kizalendo? Kwa narratives ulizotoa kuhusu huyo role model wako zikiunganishwa na personal note yako, tayari mtu mwenye akili timamu anabaini kuwa unafungamana na Munk. You share ideology with Munk halafu unataka kushikamana na wanao-share ideology ya kulinda maslahi ya kiuchumi ya nchi yao! Wewe kula mkate wako. ila tukikughundua unatusaliti matokeo yake yanajulikana na wewe unayajua.
Watu wa namnw hii frontline are deserved to be shot kwanza anakiri huyo mode wake kuwa ni hatari kwa jamii, ana hila na hivyo hata hili sakata he is a prayer WOGA,HOFU ya nini why dont you dare to die for you country? Mi nitakacho ni kujiĺizisha je kuna ukweli? Au cooked story. Once is true bila kujali mikataba au kugungiwa wala nini tuliamushe hatuwezi ibiwa eti kwa kuwa kuna weakness ya mikataba ya nyuma . Who are they? Those white horse? Bora kufa kuliko kuehalilishwa mbele ya mkeo na watoto. Wanaoufyata endelèeni. Watu tuanaona wanaandamana kumbe waoga wakubwa wanajeuri kwa kuwa polisi ni waha au wasukuma wenzao akija mwenye rangi nyingine mbio. ISSUE NI KWELI AU COOKED STORY MAANA TMAA WANASEMA SIO KWELI

Back
Top Bottom