Wakati mwingine Serikali inawapa umaarufu wapinzani bila ya sababu za msingi

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,204
8,243
Wakati Mwingine Viongozi wa serikali na Jeshi la Polisi Mtumie Busara Na Akili Kidogo tu..
Kwa mfano watu wengi jana hawakufahamu kama ACT wana Mikutano jijini Dar lakini baada ya ninyi kuwazuia nahisi dunia nzima imepata khabari na ikapelekea Maalimu kutoa maneno makali mno na leo coverage ya media yote ni yao mmewapa headlines bila sababu

Leo mlikuwa na sababu ipi ya kufuta interview yake na 360 ya clouds?

MFIKIRI KABLA YA KUTENDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anapouangusha ufalme, uufitinisha!!

serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
 
Hizi ndio tunaita akili za mwenge wa uhuru.
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
Hebu sema ACT jana walivunja taratibu zipi??
 
Wakitoka hapo wanaanza kusema upinzani umekufa Tanzania.

Ni aibuu kwa mambosasa kusema aliyo yasema juu ya sababu za wao kuzuia huo mkutano.

Kama sio Kiki za mzilankende, huyu mambosasa Sasa hakua tena na uhalali wowote wa kimaadili kuwepo ofisini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Mwingine Viongozi wa serikali na Jeshi la Polisi Mtumie Busara Na Akili Kidogo tu..
Kwa mfano watu wengi jana hawakufahamu kama ACT wana Mikutano jijini Dar lakini baada ya ninyi kuwazuia nahisi dunia nzima imepata khabari na ikapelekea Maalimu kutoa maneno makali mno na leo coverage ya media yote ni yao mmewapa headlines bila sababu

Leo mlikuwa na sababu ipi ya kufuta interview yake na 360 ya clouds?

MFIKIRI KABLA YA KUTENDA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama serikali inaongozwa na Zuzu unategemea nini!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
Acha umbumbu Kwani kuongea na clouds fm ni lazima aombe kibali mbona huyo ndg yenu hata akiwa chooni anataka apigwe picha
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.

Kama kusoma hujui hata picha huoni

Sent using Jamii Forums mobile app[/url
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
Hebu washauri Basi wafuate Sheria ipi waruhusiwe na Polisi bila kuamrishwa na Waziri wetu wa Mambo ya Ndani aliyekataza kuwepo kwaikutano iwe ya Ndani au nje..? Wasaidie hawa Nyumbu Basi..😎
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
Hivi nyinyi watu wa Lumumba mmewageuza watanzania kuwa wajinga sana??
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
Taratibu zipi hizo ?!!. Hivi ni wapi chama kingine kikaiamulia chama pinzani how do siasa ?! Only in Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ulitaka iwe inawanyamazisha kimyakimya?!
Serikali haina jinsi, ccm iliponea chupuchupu 2015 kufutika Zanzibar, sasa hivi hata ikibidi kuua kizazi chote cha wazanzibari ili kuilinda ccm, nadhani hawatajali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali haiwezi kuwapa umaarufu wapinzani hata siku moja, kwa lipi hasa moja ya kazi ya serikali ni kusimamia na kuhakikisha kuwa kila kitu kinaenda sawa kwenye nchi na jeshi la polisi ni kuhakikisha hakina vurugu au machafuko, wapinzani faateni taratibu za kisheria muone kama hamtafanya mikutano yenu.
Taratibu zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom