Wakati mwingine kunyamaza ni ujinga, hatutakaa kimya. Chadema ni maarufu na ina nguvu kubwa sana kuliko Lowassa na kundi lake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,383
217,467
Na hili ni angalizo ninalowapa wale wote wanaodhani Chadema ni chama cha mchezo mchezo , kama ulibahatika kupewa nafasi na chama hiki usije ukadhani ni kwa umaarufu binafsi, utakuwa unajidanganya sana, hiki chama kimejengwa kwenye msingi wa Mawe makubwa sana, hakuna kimbunga wala upepo wa kukiangusha, na hii ndio sababu ya CCM kuendelea kutumia polisi kukidhibiti, hasa baada ya kushindwa kwenye jukwaa la kidemokrasia.

Instagram media - Bu1AiznFRAO.jpg

Natoa wito kwa Wote mnaohama Chadema baada ya kuzidiwa na mateso ya siasa za upinzani, siasa za mateso ya jela na mauaji au baada ya kununuliwa ama kuahidiwa nafuu zozote kama vile kurudishiwa mashamba na kufutiwa madeni, ni vema mkajikalia kimya tu, maana mkichafua hali ya hewa Mtakimbia nchi yenu, hatutawaachia upenyo hata chembe.
 
Lowassa ni mstaarabu sana.

Kaondoka Chadema bila ya kutukana yeyote Kama ambavyo alivyotoka CCM hakutukana yeyote lakin alipotoka CCM alitukanwa Na alipotoka Chadema anatukanwa.

Mwacheni Edward Lowassa atumie uhuru wake wa Kikatiba.

Mbona Mgombea Mwenza wake Juma Duni Haji karudi zake CUF Na Mgombea uspika kwa Tiketi ya Chadema 2015 pia kashindwa kubaki Chadema Ndugu Ole Medeye Kwanini iwe ajabu kwa Lowassa kurudi home.
 
Eti Lowassa anadai kura zake milioni 6 alizopata mwaka 2015, sasa apigiwe Magufuli 2020!

Hivi anadhani kila aliyepiga kura alipiga kwa jina lake la Lowassa?

Tuchukulie mfano wa Mimi mwenyewe kuwa ingawa mwaka 2015 nilimpigia kura Lowassa, lakini vile vile mwaka 2020 sitampigia kura Magufuli, badala yake nitampigia mgombea wa Chadema au mgombea yeyote atakayeungwa mkono na Chadema. OVA
 
Na hili ni angalizo ninalowapa wale wote wanaodhani Chadema ni chama cha mchezo mchezo , kama ulibahatika kupewa nafasi na chama hiki usije ukadhani ni kwa umaarufu binafsi , utakuwa unajidanganya sana , hiki chama kimejengwa kwenye msingi wa Mawe makubwa sana , hakuna kimbunga wala upepo wa kukiangusha , na hii ndio sababu ya ccm kuendelea kutumia polisi kukidhibiti , hasa baada ya kushindwa kwenye jukwaa la kidemokrasia.

View attachment 1042417
Ofcourse not! It's for money
Hivi Malisa mmempleka wapi?
 
Na hili ni angalizo ninalowapa wale wote wanaodhani Chadema ni chama cha mchezo mchezo , kama ulibahatika kupewa nafasi na chama hiki usije ukadhani ni kwa umaarufu binafsi , utakuwa unajidanganya sana , hiki chama kimejengwa kwenye msingi wa Mawe makubwa sana , hakuna kimbunga wala upepo wa kukiangusha , na hii ndio sababu ya ccm kuendelea kutumia polisi kukidhibiti , hasa baada ya kushindwa kwenye jukwaa la kidemokrasia.

View attachment 1042417
Safari hii mnanyolewa kwa shoka...maumivu ni makali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Lowassa anadai kura zake milioni 6 alizopata mwaka 2015, sasa apigiwe Magufuli 2020!

Hivi anadhani kila aliyepiga kura alipiga kwa jina lake la Lowassa??

Tuchukulie mfano wa Mimi mwenyewe kuwa ingawa mwaka 2015 nilimpigia kura Lowassa, lakini vile vile mwaka 2020 sitampigia kura Magufuli, badala yake nitampigia mgombea wa Chadema au mgombea yeyote atakayeungwa mkono na Chadema. OVA
Upo kama mimi.

Nilifanga hivyo na nitafanya hivyo tena Mungu akipenda.

Hata kama upinzani watasimamisha jiwe vs CCM, kura yangu itaenda Upinzani
 
Lowassa ni mstaarabu Sana

Kaondoka Chadema bila ya kutukana yeyote Kama ambavyo alivyotoka CCM hakutukana yeyote lakin alipotoka CCM alitukanwa Na alipotoka Chadema anatukanwa

Mwacheni Edward Lowassa atumie uhuru wake wa Kikatiba

Mbona Mgombea Mwenza wake Juma Duni Haji karudi zake CUF Na Mgombea uspika kwa Tiketi ya Chadema 2015 pia kashindwa kubaki Chadema Ndugu Ole Medeye Kwanini iwe ajabu kwa Lowassa kurudi home
Hakuna aliyetukanwa hapa , usinilishe maneno
 
Na hili ni angalizo ninalowapa wale wote wanaodhani Chadema ni chama cha mchezo mchezo , kama ulibahatika kupewa nafasi na chama hiki usije ukadhani ni kwa umaarufu binafsi , utakuwa unajidanganya sana , hiki chama kimejengwa kwenye msingi wa Mawe makubwa sana , hakuna kimbunga wala upepo wa kukiangusha , na hii ndio sababu ya ccm kuendelea kutumia polisi kukidhibiti , hasa baada ya kushindwa kwenye jukwaa la kidemokrasia.

View attachment 1042417
Wazee wa gia angani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom