Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,452
Wakati mwingine kujuana na watu wengi (kuwa na chain/connection ya watu wengi) ni sababu tosha ya kukukosesha ajira.
Baadhi ya sehemu watu wanajipatia pesa kwa njia za ujanja ujanja sasa ukienda kuomba kazi na wakikuchunguza unajuana na watu wengi ni rahisi sana kukukosesha kazi hata kama wewe huna tatizo lolote.
Jitahidi sana usijichanganye changanye hovyo na watu haswa watu wa mtaani kwako angalau ujichanganye na watu wanaoishi makazi mbali na wewe.