Wakati mko bize kuchumbiana humu, na mie nimejitafutia nyumba ndogo kimya kimya.....!

Katu hamtakaa mumjue,maana najua Erickb52 mimacho itamtoka maana kazoea vya kunyonga...
 
Last edited by a moderator:

Nishampata wa kulishana naye ugoro...................
Ole wenu mpeleke umbea kwa mama Ngina.......................... Patachimbika mbaya..........

MY DOG!! Wewe ndo counsellor kwenye ile tume!!????, Mamdenyi na Erickb52 kazi hiyo!
 
MY DOG!! Wewe ndo counsellor kwenye ile tume!!????, Mamdenyi na Erickb52 kazi hiyo!

We nawe bado una mambo ya kizamani..........
Kwani hujui siku hizi kazi na dawa, kuna wakati inabidi ufanye experiment.............................LOL
 
Hahahaaa.... Bora wewe walau umetamka japo hujamtaja kwa jina huyo small house wako... Nyumba ndogo humu JF ziko kibaaaaooo..!
 
Hahahaaa.... Bora wewe walau umetamka japo hujamtaja kwa jina huyo small house wako... Nyumba ndogo humu JF ziko kibaaaaooo..!
neylu watu wanapenda sifa humu we acha tu, kila siku sherehe, hata sialikwi..... Nikasema ngoja na mie nijipange, na sasa nimejitwalia kuku mtetea tena mwenye kamba mguuni bado hajapata like wala hajawa quoted na ndio kwanza ana post moja tena ya utambulisho......
 
Last edited by a moderator:
Mimi utanisamehe Gustavo, nitamfikishia mama ngina habari bila kumung'unya...yaani wengine waparamie wakati hawajagharamia, haiwezekani kabisa..

lakini pia karibu kwenye engagement yangu wiki ijayo.
 
Mimi utanisamehe Gustavo, nitamfikishia mama ngina habari bila kumung'unya...yaani wengine waparamie wakati hawajagharamia, haiwezekani kabisa..

lakini pia karibu kwenye engagement yangu wiki ijayo.
Kumbe hujaelewa, huyo mdada ametelekezwa na boy friend wake namfanyia canceling tu basi.............
Nitakuja kwenye engegement yako, sijui inafanyikia wapi?
 
Mimi utanisamehe Gustavo, nitamfikishia mama ngina habari bila kumung'unya...yaani wengine waparamie wakati hawajagharamia, haiwezekani kabisa..

lakini pia karibu kwenye engagement yangu wiki ijayo.

BelindaJacob, its for real? Kuna kipindi ulilalamika kuhusu mapenzi,a year ago or so, ia m happy for you,seriously kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga nasikia umekimbia vimeo kipande hii ya Chit chart....
Unasemaje kuhusu kashfa hiyo......................................................LOL
 
Last edited by a moderator:
me namjua, ngoja ntakuprime minister, afu bora untumie hata kavocha la sivyo naenda kumwambia mama ngina! haya fanya fasta. . . namba yangu ni ileile ya zantel nlokupa siku ile
 
Kumbe hujaelewa, huyo mdada ametelekezwa na boy friend wake namfanyia canceling tu basi.............
Nitakuja kwenye engegement yako, sijui inafanyikia wapi?

Mmh! yaani hiyo kanseling si italeta mambo mengine..au mnaifanyia library mana wasiwasi?

Itafanyika ngorongoro crater kwani ni sehemu tunayoipenda sana, tuombeane kheri!!

BelindaJacob, its for real? Kuna kipindi ulilalamika kuhusu mapenzi,a year ago or so, ia m happy for you,seriously kabisa.

Yes ni for real Bishanga. Una kumbukumbu nzuri, nilipatwa na misukosuko mingi..Asante sana, it means a lot!
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu Ronn M huyu ndo umemuita mzee wa busara?mmmm wa mfano upi anaoonyesha mpenzi?ngoja me nijilalie kweli umdhaniye siye.na wivu wote huu naja ni kwa ajili ya couple 2 tu umu.Tupanga mamaa charminglady tukale wapi honey moon kama kisiwa cha Kome poa tu
 
Hadi mtambuzi ana nyumba ndogo :biggrin1: naona JF sasa ni ka vile danguro

Kikushangazacho mbona Baba yake mtoto wa mkulima anazo smol haus za kutosha!
Mkulima mwenyewe siyo anayo ! Ni anazo! Na member kibao hapa wanazo! Ukammake bure huyu mzee! Muacheni ale Bata.
 
Kikushangazacho mbona Baba yake mtoto wa mkulima anazo smol haus za kutosha!
Mkulima mwenyewe siyo anayo ! Ni anazo! Na member kibao hapa wanazo! Ukammake bure huyu mzee! Muacheni ale Bata.

Sio ale bata nae tu,basi amtaje tumjue,
ala!!
 
Back
Top Bottom