Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Jamani Leo ni Jumapili na niaanza rasmi maombi ambayo yatakuwa mahususi kwa Kamanda Wa mkoa Wa Dar es salaam kutokana na magumu anayoyapitia katika kazi zake. Ni ukweli usiopinga kuwa anapita katika kipindi kigumu ambacho kwa hakika anahitaji msaada wa Mungu ili kuweza kuwa na ustahimilivu katika kazi yake.
Bila shaka wenye akili wamenielewa na wataungana na Mimi kwa maombi.
Bila shaka wenye akili wamenielewa na wataungana na Mimi kwa maombi.