Upinzani watakuwa na nia njema LAKINI je kususia kujadili hotuba ya PM ndio ufumbuzi.
Mara ngapi wamekuwa wakisusa na je wameona mabadiliko yeyote kwa upande wa utawala? Hata majuzi tu tumeona kilichojili huko Zanzibar.
Na kutegemea platform moja tu ya TV na bunge sioni kama inatosha. Wawe pia active social media kuibua maovu na kutangaza sera zao. Wakisubiri mtawala awawezeshe au awape jukwaa inaweza kukesha.
Hata Magufuli awe mzuri vipi wakumbuke yeye ni CCM damu hivyo aina yeyote kuwafanya wao wawe na nguvu au umaarufu kuliko CCM wasahau.
Siungi mkono hata kidogo kinachofanywa kupinga uhuru wa habari au kuzuia waandishi lakini nawahimiza pia Wapinzani kutafuta njia mbadala. Kuendelea kutumia mbinu zile zile itawachosha wananchi na kuwafanya wawaone nyie ndio distraction.
Kwanini website za vyama vyenu zipo so domant, pia zile za mbunge mmoja mmoja?
Kule ni bure na mkipafanya kuwa maarufu watu watafika kwa wingi na kujua misimamo yenu. No excuse for that.
Najua hoja itakuja hapa ya hizi ni hela za walipa kodi. Lakini kuna aliyeshika mpini.
Ni sawa na kugombea shamba la urithi huku kuna ardhi nyingine kubwa ya bure inagawiwa na kijiji. Kihaki na kiheshima endelea kugombea lakini at the time kamata ardhi ya bure anza kulima.