Wakati misitu inakatwa hovyo Waziri wa maliasili alikuwa Dkt. Kigwangalla na Mazingira alikuwa Zungu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Dkt. Kigwangalla na Azzan Zungu ndio walikuwa na dhamana ya kulinda misitu yetu ili kutuepusha na janga la uhaba wa mvua unaopelekea ukame.

Wawili hawa ndio wanampa wakati mgumu Waziri Juma Aweso hadi kupelekea mgao wa maji.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Dr Kigwangalla na Azzan Zungu ndio walikuwa na dhamana ya kulinda misitu yetu ili kutuepusha na janga la uhaba wa mvua unaopelekea ukame.

Wawili hawa ndio wanampa wakati mgumu Waziri Juma Awesu hadi kupelekea mgao wa maji.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona kama unawasagia kunguni. Kwa haraka haraka kutokana na bandiko lako tunaweza kuhitimisha kuwa ndani ya chama hakuna msafi.
 
Dr Kigwangalla na Azzan Zungu ndio walikuwa na dhamana ya kulinda misitu yetu ili kutuepusha na janga la uhaba wa mvua unaopelekea ukame.

Wawili hawa ndio wanampa wakati mgumu Waziri Juma Awesu hadi kupelekea mgao wa maji.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
John unasemaje Sasa, au ni muda wa kuwatia kwenye oven na kuwakarangiza, je watalika?
 
..na Januari Makamba alikuwa waziri wa mazingira kabla ya Azzan Zungu.
 
Kazi iendelee au nasema uongo bwashee 🤣🤣🤣
Dr Kigwangalla na Azzan Zungu ndio walikuwa na dhamana ya kulinda misitu yetu ili kutuepusha na janga la uhaba wa mvua unaopelekea ukame.

Wawili hawa ndio wanampa wakati mgumu Waziri Juma Awesu hadi kupelekea mgao wa maji.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Umeongea kama kwamba kwa sasa misitu haikatwi tena.

Imeandikwa Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....hivyo jiulize mna maarifa gani ya kufanya Miti isikatwe kwa ajili ya nishati ya kupikia, Ujenzi, bidhaa za nyumbani karatasi n.k.?.

Hivi leo ukipita kwenye Yard za Mbao mzigo upo wa kutosha, hivi wanazitoa Mbinguni?.

Tunaangamia na tutazidi kuangamia kwa kukosa maarifa....tunahitaji maarifa ya kupunguza utegemezi wa bidhaa za misitu walau kwa asilimia 70% mpaka 80%...kwamba ifike mahali kutumia mbao iwe ni anasa..Kupaulia,kupikia, kutumia Kabati, meza na majeneza ya mbao n.k.
 
Back
Top Bottom