Wakati Mbowe akipigania dhamana yake Lowassa kuanza ziara za mikoani kuwasalimia wanaccm

Nimepita hapo wiki ya jana .CCM mmelazimisha kutundika bendera barabara kuu yote.Kuna mtu karibia anaingizwa mjini.Lazima alikuwa Pinda,Salim Asas au mnamsubiri Lowassa.Kitu kimoja ninachowapendea Hehes ni ukweli. Anakuchekea machoni,kwenye kukupigia kura mtachezeshwa kiduo ninyi vibaka wa CCM. Beautiful!
Mchungaji Msigwa anaitamani sana CCM!
 
Siasa za bongo zinafurahisha sana, wakati Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe akipigania dhamana yake mahakamani ili aweze kurudi uraiani aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho kabla ya kurejea CCM mzee Lowassa anatarajiwa kuanza ziara za kichama mikoani.

Lengo la ziara hizo ni kuwasalimia wanaccm na kushuhudia mamia ya wafuasi wa CCM waliosombwa na mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 wakiachana na Chadema na kurejea nyumbani CCM kulikonoga.

Ufipa wanateseka sana na Lowassa
Maendeleo hayana vyama!
Juzi nilimsikiliza Mwalimu akiongea juu ya umalaya kwenye siasa.
 
Siasa za bongo zinafurahisha sana, wakati Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe akipigania dhamana yake mahakamani ili aweze kurudi uraiani aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho kabla ya kurejea CCM mzee Lowassa anatarajiwa kuanza ziara za kichama mikoani.

Lengo la ziara hizo ni kuwasalimia wanaccm na kushuhudia mamia ya wafuasi wa CCM waliosombwa na mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 wakiachana na Chadema na kurejea nyumbani CCM kulikonoga.

Ufipa wanateseka sana na Lowassa
Maendeleo hayana vyama!
Na Lisu nae yupo ulaya akitangaza nia ya kugombea uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wazee 7 na vijana 4 wa CHADEMA wananiuliza, tulitoka CCM tukaingia CDM kumfuata Lowassa, sasa karudi CCM tufanyaje? Mimi nikawaambia rudini CCM, ni Chama cha wote, na kinachotakiwa ni kurudi kwa kuapa kuwa umeachana na CDM, nategemea hadi Ijumaa wote watakuwa CCM na familia zao..

Hapa Kazi Tu
 
hapo.wanatuchokonoa na hapo wanazikaribisha vita mdogomdogo ..ila wasiende kusomba watu na.malori
 
Back
Top Bottom