Wakati Mbowe akipigania dhamana yake Lowassa kuanza ziara za mikoani kuwasalimia wanaccm

Siasa za bongo zinafurahisha sana, wakati Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe akipigania dhamana yake mahakamani ili aweze kurudi uraiani aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho kabla ya kurejea CCM mzee Lowassa anatarajiwa kuanza ziara za kichama mikoani.

Lengo la ziara hizo ni kuwasalimia wanaccm na kushuhudia mamia ya wafuasi wa CCM waliosombwa na mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 wakiachana na Chadema na kurejea nyumbani CCM kulikonoga.

Ufipa wanateseka sana na Lowassa
Maendeleo hayana vyama!
Sawa Amber Rutty , umesomeka
 
Mbona alikatazwa kuwasalimia akiwa Chadema!
 
Sasa mkuu unashangaa nini hapo??? Badala ya kumshangaa mbowe kumshangaa Dkt Slaa kuhusu mshangao wa Lowassa kuhamia chadema na kwa mshangao mkubwa mbowe hakushangaa ujio huo na maajabu akampa kiti agombee Urais!!!

Mwache mbowe ajishangae mwenyewe maana aliyataka!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za bongo zinafurahisha sana, wakati Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe akipigania dhamana yake mahakamani ili aweze kurudi uraiani aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho kabla ya kurejea CCM mzee Lowassa anatarajiwa kuanza ziara za kichama mikoani.

Lengo la ziara hizo ni kuwasalimia wanaccm na kushuhudia mamia ya wafuasi wa CCM waliosombwa na mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 wakiachana na Chadema na kurejea nyumbani CCM kulikonoga.

Ufipa wanateseka sana na Lowassa
Maendeleo hayana vyama!
Si alikatazwa kufanya Mikutano ya Ki Siasa huyu ?
 
Mnateseka nyie kuvumilia harufu ya kinyesi chenu.Si mnakumbuka kada wenu Dr. Slaa alisema Chadema kumchukua Lowasa ni sawa na kuhamisha kinyesi toka chooni (CCM) na kukipeleka sebuleni(Chadema). Kaeni salama huko chooni.
Siasa za bongo zinafurahisha sana, wakati Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe akipigania dhamana yake mahakamani ili aweze kurudi uraiani aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho kabla ya kurejea CCM mzee Lowassa anatarajiwa kuanza ziara za kichama mikoani.

Lengo la ziara hizo ni kuwasalimia wanaccm na kushuhudia mamia ya wafuasi wa CCM waliosombwa na mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 wakiachana na Chadema na kurejea nyumbani CCM kulikonoga.

Ufipa wanateseka sana na Lowassa
Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ataanzia Iringa mjini!

Tena kwa kuwa anatembea kwa shida, jiwe awaagize CDF na IGP kila anapoenda wawe wanambeba mgongoni kumpandisha jukwaani. Mkumbushe na mbunge msukuma ambebee mzee toilet paper kabisa asifanye kama siku ile.
 
Lowassa kwa sasa ni mtu wa kawaida sana. Wasaka vyeo ndio walitimka na Lowassa ila wale ambao upinzani ni imani hata aje Yesu bado wataendelea kuwa wapinzani tu. Unless otherwise wawe ni wale malay wa kisiasa alokuwa akisema mwalimu
 
Huyu mzee tulikiwa tunamheshimu sana kumbe hamnazo!! angekuwa mstaarabu asingestaafu siasa akapumzika...kitendo cha kuwaumiza hivyo wana Upinzani ni nini hasa lengo lake?
 
Back
Top Bottom