Wakati Mbowe akipigania dhamana yake Lowassa kuanza ziara za mikoani kuwasalimia wanaccm

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,793
141,687
Siasa za bongo zinafurahisha sana, wakati Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe akipigania dhamana yake mahakamani ili aweze kurudi uraiani aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho kabla ya kurejea CCM mzee Lowassa anatarajiwa kuanza ziara za kichama mikoani.

Lengo la ziara hizo ni kuwasalimia wanaccm na kushuhudia mamia ya wafuasi wa CCM waliosombwa na mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 wakiachana na Chadema na kurejea nyumbani CCM kulikonoga.

Ufipa wanateseka sana na Lowassa
Maendeleo hayana vyama!
 
Hata hivyo washukuru kawaachia chenji nyingi sana..mambo ya keep change..kweli lowasa muungwana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoyai alikodi jukwaa la Kugombea Urais Na gharama zote Za kuwania Urais alitoa Pesa zake Na Za Rafiki zake Na waliomkaribisha walikula Mgao wa kumkaribisha wakadhulumiana wengine wakajitoa Moja kwa Moja wengine walikula huku Na huku baade wak ajiuzulu Halafu wakabadili Mawazo

Acheni kumsumbua Mzee Ngoyai

Kwani ukikodi baJaji Halafu Trafiki akaikamata kwa kutoheshimu Sheria Za usalama barabarani huruhusiwi kuhamia Kwenye Bajaji nyingine mpaka dereva amalizane Na Trafiki?
 
Back
Top Bottom