Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,486
51,063
Hii ni bias ya namna gani, inatuma meseji gani kwa wananchi, kwamba Masheikh ambao hakuna kesi yoyote ya msingi wala ushahidi wa jinai dhidi yao leo wanaozea jela miaka zaidi ya SABA sasa, lakini leo mchungaji wa kikiristo, ambaye ana tuhuma za kuendesha jambo lililopelekea watu takriban 20 kufa anaachiwa kwa dhamana,

Je, hii inatuma meseji gani kwa wananchi? Kwamba hakuna utendaji wa haki katika masuala ya sheria nchini? na kwamba suala linapogusa watu wa imani moja linaangaliwa kwa kukomoa na bila kujali, lakini linapogusa watu wa imani nyingine hilo linafumbiwa macho?

Hata bunge linagoma kujadili vifo hivi vya wananchi kwa sababu zinazoonekana kabisa kuwa kuna harufu ya udini na kukingiana kifua kwa mirengo ya kidini

Waislamu wanaona haya mambo, na hawafurahishwi.

Wamesema, wamesihi wamenasihi sana kuhusu masheikh wao lakini hawakusikilizwa

SASA wamemuachia MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI FANYENI MNAVYOWEZA, KISHA TUONE MWISHO WENU KATIKA HII ARDHI YA MUNGU UTAKUWAJE!
 
Sasa 2020 october mfanye maamuzi sahihi ili muwakomboe wale Masheikh. Kama mtamuongezea 5 years bwana yule basi sahauni kuhusu wale masheikh. Mwamposa kapewa dhamana sababu wanajua nguvu ya waumini wake ingeleta mtafaruku mkubwa October.
 
Huyo Mwamposa amewatoa kafara , na ni wakubwa wengi tu wapo kwenye hiyo mission, ndio mana hawahangaiki naye, majeruhi mmoja anadai ilikuwa ukikanyaga mafuta unanaswa na kitu kama sumaku hutoki, huku wengine Wengi wanakuwa wanakuja hapo hapo. Tatizo hili sakata siasa nyingi basi tu.
 
Huyo mwamposa amewatoa kafara , na ni wakubwa Weng Tu wapo kwenye hyo mission, ndo mana hawahangaiki naye, majeruh mmoja anadai ilikuwa ukikanyaga mafuta unanaswa na kitu kama sumaku hutoki , huku wengine Weng wanakuwa wanakuja hapo hapo ...... Tatizo hli sakata siasa nying bas tu
Mzee haya ya kweli haya? Huyo shahidi umemsikia mwenye we? Basi IPO kazi kama ni ukweli!
 
Huyo mwamposa amewatoa kafara , na ni wakubwa Weng Tu wapo kwenye hyo mission, ndo mana hawahangaiki naye, majeruh mmoja anadai ilikuwa ukikanyaga mafuta unanaswa na kitu kama sumaku hutoki , huku wengine Weng wanakuwa wanakuja hapo hapo ...... Tatizo hli sakata siasa nying bas tu
Ni kijiwe gani cha kahawa wanapiga stori tamu hivi na mimi niendapo kesho
 
Mtoa mada tuseme ndio huelewi kama kuna mfumo kristo ndio unaotawala tz au unajitoa fahamu?

Sent using tecno tochi
Nimebahatika kuwa na ukoo ambao una dini zote mbili na Sijawahi kuona mtu kati yetu aliyefaulu au kupata nafasi katika maisha kutokana na dini yake..

Hivi vitu vingi ni chuki tu za mitandaoni na baadhi ya jamii ambazo hazitaki kuwekeza katika vizazi vyao ila huwajaza chuki watoto wao kuwa kushindwa kwao kunatokana na mtu mwingine.

Just a simple way to avoid their responsibility and feel comfortable with their failure
 
Back
Top Bottom