Wakati Marekani muimbaji/muigizaji sio lazima awe yeye ndio mtunzi, hapa Tanzania Ray ndie Director, Actor, producer, Cameraman, Makeup artist.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Ile kauli kua you can't have it all hapa Tanzania haina nafasi. Huku Tanzania wasanii wetu wana kila kitu. Utunzi, uimbaji au uigizaji, uandishi, uongozaji, mapambo na kila kitu.

Wasanii wetu hawataki kushirikishana, mwingine atunge, mwingine aimbe, mtu anataka kufanya yote yeye mwenyewe.

Mada inaendelea.
 
We mtu moja kwa mwaka anatengeneza movie nane, hizi sio movie ni kibisa tu
 
Ukweli ninkuwa Ray anajua kuigiza..tatizo ni uandishi na kuwa director hapo ndo anaharibu kabisaa....movie inavyoanza na inavyoishia ni majanga....action zinafanyika kama michezo ya watoto khaaa....Bora uandike story lakn utafte director makini weng wao wapo nje ya nchi bongo miyeyusho
 
Bongo muvi bongo lala taaluma isiyo naakili, hawana lolote wauza sura tu, Ndo mana wanafeli na wataendelea kufeli mpka siku watakayogundua kipaji sio matako makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo muvi imevamiwa na wauza nyago wamefuga matako wanashinda kwenye dressing table huwezi kutofauti kati ya ME na KE, hata kuigiza hawajui wameenda kutafuta mabwana na mashangazi walelewe kama ndama.

#bamia_ndefunene
 
Watu wakishachukuliwa na ccm kwa kujali matumbo yao unategemea kina jipya hapo mtu tumbo kubwa kama jb unategemea nn
 
Hizi za kwetu ni maigizo,watu wanasomea haya mambo,kuwa na kipaji ni jambo moja,kuwa director,producer ni mambo ya kusomea. Sio kwa kuwa actor au actress mzoefu basi automatic unakuwa producer ndio mana movie zinakuwa majanga
 
Back
Top Bottom