Wakati marais wengine wakifikiria kubaki ikulu kiani, Magufuli asisitiza kuondoka baada ya vipindi viwili

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa pamoja na kuwepo kwa Corona.

Hii ni kinyume kabisa na marais wa Rwanda na Uganda ambao tayari wameonyesha nia za kuendelea kubaki madarakani, wakati Uhuru Kenyatta akijijengea mazingira ya kuwa waziri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeah right....
embu msome huyu "role model" wake alivyotamka 2010 na kilichotokea 2017.

20200326_121444.jpg
 
Sasa kama akipiga tu picha juu ya jiwe watu wanamdisi wanamuita mshamba tena aliweka na wanyama ikulu watu wakaanza kumuombea ati angekuwepo hata na Simba aingie mpk ndani amtafune mzee na sahivi wanamuita MOPAO😂
Lazima aombe kutoka maana na wengine wanaomba corona ifike mpk mjengoni🤣🤣

Mopao nae kaona akimbilie idodomya maana mwe koro inapamba moto dalechalamu😂
 
Ingependeza zaidi kama angehakikisha pia kwamba tume ya uchaguzi ipo huru na kwamba uchaguzi utakuwa wa haki. Wapinzani pia wawe huru kufanya shughuli zao za kisiasa bila vitisho wala kudhulumiwa. Uhuru wa kujieleza nao, na wa wanahabari pia, ulindwe kisheria kama ilivyo kwenye katiba hiyo hiyo inayotoa muongozo kuhusu muda wake wa kutawala. Meanwhile...
 
Soma maelezo yangu vizuri Sana, utagundua kwamba Kagame ni miongoni mwa marais niliowataja kubakia madarakani. Hilo la role model wake unalijua wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
na mimi nilitaka tu kukukumbusha tu kuwa JPM siyo wa kwanza kusema hatazidisha presidential terms.
wapo waliosema hivyo na bado walizidisha.

na katika marais 3 Africa walio inconsistent katika kauli zao, JPM yumo!
 
Ingependeza zaidi kama angehakikisha kwamba tume ya uchaguzi ipo huru na kwamba uchaguzi utakuwa wa haki. Wapinzani pia wawe huru kufanya shughuli zao za kisiasa bila kudhulumiwa. Uhuru wa kujieleza nao, na wa wanahabari pia ulindwe kisheria kama ilivyo kwenye katiba hiyo hiyo inayotoa muongozo kuhusu muda wake wa kutawala. Meanwhile...
Wakenya mnafurahi Sana kusikia kwamba ataondoka madarakani kwasababu amewafunika katika kila idara. Kumbukeni kwamba bado ana miaka mitano na nusu ya kuendelea kuwaburuza na kuwachapa bakers. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli angeweza kuacha urais bila aibu angejiuzulu hata kesho.

Ni mtu ambaye urais umemshinda na yeye kashajua hilo.

Kilichobaki ni maigizo tu.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mnafurahi kusikia kwamba ataondoka madarakani amewafunika katika kila idara. Kumbukeni kwamba bado ana miaka mitano na nusu ya kuendelea kuwaburuza na kuwachapa bakers.
Aondoke asiondoke hayatuhusu sisi, taarifa za kuondoka kwake umezileta humu wewe mwenyewe. Alipoingia hatukupinga wala kumpigia kampeni, tulikuwa bize na masuala ya nchi yetu. Kuhusu kutuburuza, ametuburuza kweli. Maanake tumefaidi kweli kweli na ubabe wake na sera zake mbovu, kibiashara kati ya Kenya-Tz. Ambapo mmevunja rekodi ya miaka miine, ya kununua bidhaa za Kenya kwa wingi, zaidi ya Kenya inavonunua kutoka kwenu, 'deficit' kwenye biashara kati ya nchi zetu imewalemea nyie kwa kiwango cha $35million.Tanzania trade with Kenya turns into deficit Ukuaji wa uchumi Kenya, 5.6% kwa miaka sita. Viwanda vimeongezeka na wawekezaji tunawapokea kila uchao.
 
Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa pamoja na kuwepo kwa Corona.

Hii ni kinyume kabisa na marais wa Rwanda na Uganda ambao tayari wameonyesha nia za kuendelea kubaki madarakani, wakati Uhuru Kenyatta akijijengea mazingira ya kuwa waziri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ana miaka mitano. Lazima aseme hivyo. Sasa siku zikikaribia kukata utaona. Kikubwa lawama zitaangukia kwa wananchi ambao itaonekana wameandamana ili rais aongeze muda huku "viongozi wa dini" wakichochea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Why should Firbes and The Times be the gild standard?

I can cite The Economist blasting him as well, several times.

Magufuli kaangusha mapato ya bidhaa za kilimo kwa mwaka mmoja ulioishia August 2019 kwa asilimia 60 kulinganisha na mwaka wa awali yake.

Ripoti ya BOT ya October 2019 inaonesha hivyo.

Largely kwa kuingilia biashara ya korosho kijinga.

How is that being the best president?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Forbes na The times wanaishi wapi?? Kwamba Mambo ya utekaji na watu kuokotwa kwenye viroba ufukweni huku wengine wakimiminiwa risasi hadharani ndio ubora??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na mimi nilitaka tu kukukumbusha tu kuwa JPM siyo wa kwanza kusema hatazidisha presidential terms.
wapo waliosema hivyo na bado walizidisha.

na katika marais 3 Africa walio inconsistent katika kauli zao, JPM yumo!
Miseveni (2000) alisema mtu mwenye miaka 75 hawezi kukubaliwa kuongoza Nchi kwa kuwa katika umri huo sifa yake kuu huwa ni Usahaulifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado ana miaka mitano. Lazima aseme hivyo. Sasa siku zikikaribia kukata utaona. Kikubwa lawama zitaangukia kwa wananchi ambao itaonekana wameandamana ili rais aongeze muda huku "viongozi wa dini" wakichochea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, umekua mpiga ramli sio?, hebu tuambie Kuhusu hatma ya maambukizi ya Corona baada ya kipindi cha mwezi mmoja toka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why should Firbes and The Times be the gild standard?

I can cite The Economist blasting him as well, several times.

Magufuli kaangusha mapato ya bidhaa za kilimo kwa mwaka mmoja ulioishia August 2019 kwa asilimia 60 kulinganisha na mwaka wa awali yake.

Ripoti ya BOT ya October 2019 inaonesha hivyo.

Largely kwa kuingilia biashara ya korosho kijinga.

How is that being the best president?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Nonesense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, I can feel the bitterness in you over him, Pole Sana.

Back
Top Bottom