Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,675
Huko Mbeya mahafali ya Vijana wa CHADEMA vyuo Vikuu yakizuiliwa kwa kisingizio cha "siasa" sababu yatajumuisha viongozi wa kanda na kitaifa wa kisiasa,huko kwenu Dar es Salaam vijana wa vyuo vikuu wa jiji hilo wamekutana na kufanya mahafali chini ya ugeni rasmi wa KIONGOZI wa CCM kitaifa.
Sababu za kuzuiliwa kwa mkutano huo huko Mbeya na polisi,ni kuwa mahafali hayo yatakuwa na sura ya kisiasa sbb yatajumuisha viongozi wa chama wa kanda na kitaifa,na hivyo kukinzana na zuio la Serikali la mikutano ya siasa,na pia polisi wakasisitiza kuwa uwepo wa mahafali hayo sio jukumu la wanafunzi bali ni chuo.
Huko kwenu Dsm,si chuo wala nini kilichoandaa,bali vijana wa chama chini ya kada Daniel Zenda.Viongozi wa chama Kitaifa katika ngazi ya UVCCM na ngazi ya Chama walifika ukumbi wa King Solomon na kufanya mahafali ambao ni zaidi ya mkutano wa kisiasa.
Haya mambo ni ya aibu sana kwa polisi,kukandamiza vyama mbadala,hii ni aibu sana kwa huyu baba,anajidai kushinda kwa KO wakati kamfunga kamba mpinzani wake wakati wa mpambano.Huyu baba ana roho ngumu sana na ya ajabu sana.Haya mambo ndio Mama Mghwila anaenda kuyatekeleza huko Kilimanjaro.
Ma-siasa ya hovyo sana ya kukomoana na kuviziana!!hovyooooo sanaaa