Wakati Jumuiya ya Wazazi CCM ina zaidi ya bilioni 2 Benki, CHADEMA wapo hoi kifedha

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa kuwa CHADEMA inaelekea kufa. Ipo hoi bin taabani na hali ikiendelea hivi kwa zaidi ya miezi 3, kuna uwezekano viongozi watashinikizwa kujiuzulu. Time will tell.

Taarifa za kuaminika nilizopata hivi sasa ni kwamba, CHADEMA wapo hoi bin taabani kifedha. Mnyetishaji wangu toka Ufipa, yalipo Makao Makuu ya CHADEMA, anasema kuwa wafanyakazi wa Makao Makuu hawajalipwa fedha kwa muda wa mizei 3 sasa na kwamba hali ni ngumu kwa upande wao.

Mmoja wa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambaye sitamtaja jina ila akisoma uzi huu atajijua amelalamika kuwa sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, pango la nyumba alilolipa miezi 6 iliyopita linaisha mwisho wa mwezi huu na watoto wanatakiwa kwenda shule Januari. Hana hakika ya fedha na kwamba wanaambiwa wavute subira kwa vile hali ya kifedha ni mbaya. Mbaya zaidi wanasikitika chama kutumia fedha kugharamia mikutano isiyo na tija badala ya kulipa mishahara watumishi wao.

Kwa hatua waliyofikia CHADEMA kwa sasa wanategemea miujiza ya Mungu tu kuwaokoa. Mnyetishaji wangu wa Makao Makuu ya CHADEMA amenidokeza kuwa hata sababu zilizotajwa na viongozi wa UKAWA za kutaka kususia uchaguzi wa marudio katika majimbo 3 hazina mashiko.

Kwamba, CHADEMA na vyama washirika wa UKAWA hawana fedha za kugharamia mikutano ya kampeni kwa wagombea wake na ndo maana wametangaza kususia. Kwamba, hata kwenye chaguzi za Madiwani kwa kata 43 zilizomalizika, katika kata nyingi, CHADEMA hawakufanya mikutano ya kutosha ya kampeni na ndo maana wameshindwa vibaya.

Niwaombe sana viongozi wa CHADEMA. Hakuna dhambi mbaya kama kumtumikisha mtu kazi bila kumlipa ujira wake. Lipeni mishahara watumishi wenu ili muwe na hakika ya kuendesha mambo yenu kama taasisi. Vinginevyo mjiandae maumivu 2020.

Nawasilisha
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa kuwa CHADEMA inaelekea kufa. Ipo hoi bin taaban na hali ikiendelea hivi kwa zaidi ya miezi 3, kuna uwezekano viongozi watashinikizwa kujiuzulu. Time will tell.

Taarifa za kuaminika nilizopata hivi sasa ni kwamba, CHADEMA wapo hoi bin taaban kifedha. anasema kuwa wafanyakazi wa Makao Makuu hawajalipwa fedha kwa muda wa mizei 3 sasa na kwamba hali ni ngumu kwa upande wao.
JPM.....kasema katika hotuba yake ya ufunguzi kaipatia Jumuiya ya Wazazi CCM milioni 250....ni kweli mkuu...
 
Nasikia tangu bae wako Gama afariki umechanganyikiwa sana!!

Hivi hao wazazi wawe na billion 2 bank halafu waombe msaada kwenye Chama?
Mkuu, ni msaada gani ambao Jumuiya ya Wazazi wameomba kwenye chama?
 
Muwe mna billion mbili kwa utawala huu wa kukimbia na rambirambi wangeziacha waache kununulia wabunge na madiwani sijui mnamdanganya nani nyie.
Huo ndio ukweli. Jumuiya ya Wazazi CCM ina miradi inayozidi miradi yote ya chadema kama ipo
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa kuwa CHADEMA inaelekea kufa. Ipo hoi bin taaban na hali ikiendelea hivi kwa zaidi ya miezi 3, kuna uwezekano viongozi watashinikizwa kujiuzulu. Time will tell.

Taarifa za kuaminika nilizopata hivi sasa ni kwamba, CHADEMA wapo hoi bin taaban kifedha. Mnyetishaji wangu toka Ufipa, yalipo Makao Makuu ya CHADEMA, anasema kuwa wafanyakazi wa Makao Makuu hawajalipwa fedha kwa muda wa mizei 3 sasa na kwamba hali ni ngumu kwa upande wao. Mmoja wa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambaye sitamtaja jina ila akisoma uzi huu atajijua amelalamika kuwa sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, pango la nyumba alilolipa miezi 6 iliyopita linaisha mwisho wa mwezi huu na watoto wanatakiwa kwenda shule Januari. Hana hakika ya fedha na kwamba wanaambiwa wavute subira kwa vile hali ya kifedha ni mbaya. Mbaya zaidi wanasikitika chama kutumia fedha kugharamia mikutano isiyo na tija badala ya kulipa mishahara watumishi wao.

Kwa hatua waliyofikia CHADEMA kwa sasa wanategemea miujiza ya Mungu tu kuwaokoa. Mnyetishaji wangu wa Makao Makuu ya CHADEMA amenidokeza kuwa hata sababu zilizotajwa na viongozi wa UKAWA za kutaka kususia uchaguzi wa marudio katika majimbo 3 hazina mashiko. Kwamba, CHADEMA na vyama washirika wa UKAWA hawana fedha za kugharamia mikutano ya kampeni kwa wagombea wake na ndo maana wametangaza kususia. Kwamba, hata kwenye chaguzi za Madiwani kwa kata 43 zilizomalizika, katika kata nyingi, CHADEMA hawakufanya mikutano ya kutosha ya kampeni na ndo maana wameshindwa vibaya.

Niwaombe sana viongozi wa CHADEMA. Hakuna dhambi mbaya kama kumtumikisha mtu kazi bila kumlipa ujira wake. Lipeni mishahara watumishi wenu ili muwe na hakika ya kuendesha mambo yenu kama taasisi. Vinginevyo mjiandae maumivu 2020.

Nawasilisha
Wanalazimishwa kuitumikia chadema si waondoke, matangazo ya kukosa mishahara mbona shopping mor nyingi zimefungwa kwa kushindwa kujiendesha ni za chadema .
 
Tupe vyanzo halali na visivyo halali vya fedha vya jumuiya za ccm
Jumuiya ya Wazazi inamiliki shule 54 za Msingi na Sekondari. Inamiliki vyuo. Pia ina majengo yaliyotapakaa nchi nzima. Hatuna mchezo
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni dhahiri sasa kuwa CHADEMA inaelekea kufa. Ipo hoi bin taaban na hali ikiendelea hivi kwa zaidi ya miezi 3, kuna uwezekano viongozi watashinikizwa kujiuzulu. Time will tell.

Taarifa za kuaminika nilizopata hivi sasa ni kwamba, CHADEMA wapo hoi bin taaban kifedha. anasema kuwa wafanyakazi wa Makao Makuu hawajalipwa fedha kwa muda wa mizei 3 sasa na kwamba hali ni ngumu kwa upande wao.

Vipi Cuf na chauma wao wanashingapi?
 
Wanalazimishwa kuitumikia chadema si waondoke, matangazo ya kukosa mishahara mbona shopping mor nyingi zimefungwa kwa kushindwa kujiendesha ni za chadema .
Hahahahahahahaaaaaa. Unataka kukiua chadema wewe. wakiondoka hao waliopo nani atataka kufanya kazi bila kulipwa?
 
Bora wao wanazo hizo wakt ww hata mzee wako naye anategemea buku 7 yako ndo imkwamue duuuuh waafrica bna eti maskini ndo anamcheka tajiri kwe maswala ya kipato
 
Kama wewe ndo wanakuamini ccm kwa propaganda? Basi wamechemka. Jitahidi basi unachoandika kikaribiane na ukweli.
 
Shule za uma mlizojimilikisha kma meta high school, ndembela sc, mporoto sc, e.t.c mifano michache kwa huku mbeya.
 
Miaka zaidi ya 55 bado wana B 2 tu! wezi wakubwa! na vitegauchumi vyote vya serikali walivyo navyo? wezi wakubwa! CDM hawana kitega uchumi jua hilo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom