Wakati huwa hausimami hata Siku moja. Labda uwe na saa Mbovu

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
Kipindi alipofanya Lissu 2017 zitto ndie aliyemshughulikia na kumuita lissu ni zwazwa, mufilisi nk. Ila 2020 huyu huyu ndumila kuwili Zitto kabwe anayafanya ya mwezie.. Nadhani muda utakapofika tutaelewana yale ambayo kila mwanasiasa 'anaonyesha kuyasimamia......'
2.PNG
3.PNG
4.PNG
Capture.PNG
3.PNG
 
Kwa siasa za kukera anazofanya Meko, usishangae kumuona Ndugai naye anapeleka malalamiko kwenye shirika fulani la kimataifa ili wazuie kuipa Tanzania msaada/mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa wanasiasa sio wakuwaamini.
Ngoja wakomeshana Kwanza. Sie wananchi maisha yanaendelea.
2020 hana chake huyu mnafiki

2020
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom