Wakati huu wa Corona nimegundua ni kweli mtu mweusi hajitambui na ni sahihi kabisa kubaguliwa

Bora ya hao waliovaa ya kitenge sasa kuna kijiwe kila siku wamejaa wanacheza bao hata leo na hizo barakoa hazijavaliwa.

Afrika bado kuna shida sana.
 
Cha maana na cha msingi ni kumtegemea Mungu tu, maana ndiye aliyetuumba.

Uzima wetu ni jambo nyeti sana na hauwezi kulindwa na barakoa. Mungu pekee ndiye mlinzi wetu.

JESUS IS LORD!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huko ulaya pia wanavaa za kushona. Malkia Elizabeth amevaa ya kusho tena kamechisha na nguo yake yy pamoja na mkwe wake cathy. Inasaidia kwa kiasi chake kuliko kutovaaa. Muda mwingine tuachage lawama
 
Ukweli ni kuwa kwa wastani, mwafrika ni mtu asiyejali. Tuna tabia ya kuchukulia kwa mzaha mambo yaliyo serious. Huo ndiyo ukweli.

Btwn, huyo mama aliyevaa jani la mgomba nadhani yuko salama. Sidhani kama futa litapita hapo, kupumua sasa ndiyo mtihani!
 
Back
Top Bottom