Wakati huu wa Corona nimegundua ni kweli mtu mweusi hajitambui na ni sahihi kabisa kubaguliwa

Badala ya kuwavizia ndugu zako na kuwapiga picha za kuja kupambia hili andiko lako, si ungenunua tu hata hizo barakoa mbili na ukawapatia! Au ungetumia muda wako kuelimisha matumizi sahihi ya hizo barakoa.

Una maneno ya shombo kwa Waafrika/Watanzania wenzako as if wewe mwenzetu ni Mzungu pori! Kumbe utakuta ni mchimba chumvi tu.
Unafikiri mimi kuwa mchimba chumvi itanizuia kuongea ukweli kuhusu wachimba chumvi?
 
Mtoa mada wisdom zero....ungemsaidia njia Sahihi badala ya kuexpose picha yake na kumshushia utu wake.....kwa wenzetu kesi ya jinai hii....Elimu yako haijakukomboa bado.
 
Kwaio wewe ni mzungu ndiomana unajielewa? Kama hujui ni kwa sababu ya watu wenye tabia Kama zako ndio wanafanya CC watu weus tuwe wajinga siku zote mzungu Alie starabika hawezi kumnyooshea kidole kibaya mzungu mwenzake ata Kama ni mjinga kiasi gan wewe ulitakiwa baada ya kuona picha izo mitandaon kwa wing ulitakiwa na wewe ulie vaa barakoa nzuri ujipige picha nying na kuzisanbaza kwenye mitandao sio kutukana watu hujui watu kula Yao tu ni buku 2 alafu anunue barakoa ya 3000 acha upumbavu na tengua kauli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzalendo iq1. Unaongea kama kada wa chama cha wajinga.
Mzungu gani hambagui mzungu mwenzake ? Umeshafika Ireland wewe? Umeshafika Urusi wewe?
Nilipita Kongowe leo na hakika niliyoyaona ni kama Corona haijafika Tanzania
 
Hizi Mask za kichina hazifai kwa matumizi ya binadamu, lile ghala la kuhifadhia madawa lililoungua juzi lilikuwa na mask zenye virus wa CORONA..

Rais siyo mjinga kusema watu wajishonee mask wenyewe, Huko mbeleni kuna watu watakufa kama kuku kwa ujuaji kama huu wa mleta thread

narudia tena kusema..


Mask zinazo toka nje ya Africa hazifai kwa matumizi ya binadamu utakuja kukumbuka huu ujumbe wangu
 
Hizi Mask za kichina hazifai kwa matumizi ya binadamu, lile ghala la kuhifadhia madawa lililoungua juzi lilikuwa na mask zenye virus wa CORONA..

Rais siyo mjinga kusema watu wajishonee mask wenyewe, Huko mbeleni kuna watu watakufa kama kuku kwa ujuaji kama huu wa mleta thread

narudia tena kusema..


Mask zinazo toka nje ya Africa hazifai kwa matumizi ya binadamu utakuja kukumbuka huu ujumbe wangu
Unajua kusoma? Wapi nimesema kuwa watu wavae Barakoa kutoka nje?Halafu bila aibu unamquote Mhe.Rais vibaya, wapi Rais alisema kuwa watu wavae Barakoa ambazo hazina viwango?Kwa akili hizi ukibaguliwa kuwa huna akili utalaumu?Halafu bila aibu unajiita waziri!!
 
Mtoa mada huna maarifa Na una ukosefu wa taarifa Sahihi
25524244-0-image-a-27_1583324737829.jpg


Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
 
I think you overestimate Caucasians (wazungu). The fact is, 90% of the population everywhere, including western nations, depend on the 10% with brains. 90% in western nations (the U.S./Canada/Europe/Australia) wana akili za kawaida tu, just like you and me. You guys act as if wazungu wanajua kila kitu, but that is hardly the case.

They have a critical number of professionals, the rest (vast majority) are jobbers like us here. Couple that with centuries of development, and you have people thinking that majuu people are all smart. If people from Africa can go there and probably mirror their success, that just proves that we aren't inferior. We lack opportunities, that's all.

Ni kama uchukue watu wawili. Mmoja azaliwe Masaki/Oyster Bay na mwingine azaliwe Tandare/Sinza. You cannot automatically assume that the one from Masaki/Oyster Bay is smarter. He/she was simply born into wealth or a system that works i.e. opportunities. The one from Tandare/Sinza wasn't.

Africans aren't stupid. They just weren't born into a working system and pre-existing infrastructure like their agemates in Europe or the U.S. Don't be too hard on yourselves.
 
Wewe sasa unataka kupishana na Mkuu wa Mkoa wa Dar'Salaam aliyesema kuanzia jumatatu ya wiki iliyopita kila mtu(kwenye mkoa wa Dar) lazima afunike kinywa na pua kwa barakoa haijalishi ni ya kitenge khanga shuka leso wala blangeti"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom