mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,163
- 787
kama kawaida, ogopa sana uzandiki.....
Hapa hakuna kulaumu. siku hiyo inakuja kila mmoj atajuta. na kuona ulikosea, lowasa hakuhitaji sifa , laa alitaka atuwezeshe.
Asingebomoa kabla ya kujua utajistiri wapi. Muda huu wewe ukiwa umejilaza, walobomolewa hawajui hatma yao. usalama wao. Maisha yao, chakula kwa tabu.
Updated
Mjadala kila kona ya Tanzania ni bomoa bomoa. Nadhani wananchi wanashindwa kujua njia za kitumia njia nzur kudai.
Tangu hapo nashangaa sioni hata taasisi za haki za binadam. Hapa haki inatakiwa itetewe. Tujuavyo pia nchi hii imekuwa ikipokea wakimbizi. Waliobomolewa hawanati mahitaji yao na wale wanaokimbia vita.
Kuwa homeless hujui chakula ukale wapi. Kazi automatic huwez kwenda. wewe na refugee unanini tofaut?
acheni ushabiki

Last edited: